Tuwafichue wanaohatarisha amani Zanzibar
MARA nyingine wiki iliyopita pametokea mlipuko katika sehemu mbali mbali za Kisiwa cha Unguja inayofikiriwa kuwa ya mabomu na kusababisha wasiwasi visiwani humo. Milipuko hii imetokea sehemu nne tofauti, moja...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 Feb
Serikali kuwachukulia hatua wanaohatarisha amani.
Na Lilian Mtono,
Dar Es Salaam.
Serikali ya Tanzania imesema haitavumilia kuona matukio yanayofanyika kinyume cha sheria na taratibu za nchi yanayolenga kuhatarisha amani bila kuchukua hatua dhidi ya wahusika kwa madai kuwa zinakiuka haki za binadamu.
Imesema kumekuwepo na ongezeko la matukio ya kisiasa yanayofanyika kinyume cha taratibu zinazotakiwa hivyo kuisukuma Serikali kuchukua hatua ambazo baadae hudaiwa kuwa zimevunja haki za binadamu.
Hayo yamebainishwa kwenye viwanja vya...
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR


11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Tuwafichue wanaowaficha walemavu
BAADA ya vyombo vya habari kuandika mara kadhaa kuhusu taarifa za watu wenye ulemavu, bado vinatakiwa kufika vijijini ili kuibua watoto wenye ulemavu wanaofichwa majumbani na kukoseshwa haki za msingi....
5 years ago
BBCSwahili12 May
Siku ya wauguzi duniani: Watu wanaohatarisha maisha kuwahudumia wagonjwa wa COvid -19
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Sep
Maazimio ya mkutano wa Amani Zanzibar
Tuesday, September 22, 2015 Maazimio ya mkutano wa Amani Zanzibar MAAZIMIO YA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR ULIOFANYIKA KUANZIA TAREHE 19 HADI 20 SEPTEMBA 2015 KATIKA HOTELI YA ZANZIBAR BEACH RESORT –ZANZIBAR Bismillahir Rahmaanir Rahym 1. Ofisi […]
The post Maazimio ya mkutano wa Amani Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Sep
Amani iwe juu yako Zanzibar
Na Rashid Abdallah Ilikuwa ni Jioni ya maombi ya Ijumaa tarehe 6 mwezi huu, Wazanzibari walikusanyika katika viwanja mbali mbali ndani ya Zanzibar kuiyombea nchi yao amani na utulivu kuelekea katika uchaguzi wa October 25. Hata […]
The post Amani iwe juu yako Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi14 Dec
SUK isibezwe, imeleta utulivu na amani Zanzibar
10 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani
Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani
Mwandishi Wetu