Tuwaulize CCM, bila serikali mbili, watakufa?
Aprili 26 mwaka huu, Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar unatimiza miaka 50. Maadhimisho hayo yanakwenda sanjari na mchakato wa Katiba mpya unaochukuliwa kama suluhisho la malalamiko ya muda mrefu kati ya pande mbili za Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Feb
CCM yasisitiza Serikali mbili
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likianza leo mjini hapa, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza kuwa msimamo wa kuwapo kwa Serikali mbili na kuunga mkono maoni ya wengi, lakini ikaonya kuwa si vyema kutishana na kuburuzana.
11 years ago
Mwananchi19 Feb
CCM watofautiana Serikali mbili
11 years ago
Mwananchi21 Mar
‘CCM ina masilahi na Serikali mbili’
11 years ago
Habarileo15 Jan
CCM yasisitiza serikali mbili katika Katiba
KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema CCM bado ni muumini mkubwa wa sera ya Serikali mbili katika Muungano.
11 years ago
Habarileo04 Apr
Wazee CCM: Wabunge teteeni serikali mbili
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuhakikisha wanatetea muundo wa Muungano wa serikali mbili.
11 years ago
Habarileo20 Mar
CCM-Tunataka serikali mbili lakini hatulazimishi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza msimamo wake kuhusu muundo wa Muungano ni serikali mbili, lakini ikiwa wananchi wataamua vinginevyo katika mchakato unaoendelea, wataheshimu uamuzi. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo aliwaambia waandishi wa habari kuwa, CCM inaendelea kuamini katika Muungano wa Serikali mbili na itasimamia hilo ingawa haimlazimishi mtu, taasisi wala chama chochote kuamini katika msimamo huo.
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wenyeviti CCM wang'ang'ania Serikali mbili
WENYEVITI wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamesisitiza muundo wa Serikali mbili ndiyo utakaodumisha Muungano kuwa imara zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Haji Juma Haji kwa niaba ya wenzao, wakati walipozungumza na waandishi wa habari hapo wakielezea mchakato wa Bunge maalumu la katiba.