Tuzo ya mwalimu bora duniani yazinduliwa
Atakayepokea tuzo hiyo ni mwalimu ambaye anafanya kazi kwa bidii na ambaye atathibitisha mchango wake kwa sekta ya elimu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Haya ndiyo majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani 2015
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetaja majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015.
Majina hayo matatu (3) yamepatikana kutoka kwa majina 23 aliyokuwa yamependekezwa awali. Majina hayo ni;
Cristiano Ronaldo (Ureno – Real Madrid)
Lionel Messi (Argentina – Barcelona)
Neymar da Silva Santos (Brazil – Barcelona)
Kwa upande wa wanawake FIFA imewataja;
Carli Lloyd (Houston Dash -USA)
Aya Miyama (Okayama Yunogo Belle –...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)
Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.
Na Rabi Hume
Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...
10 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f0gDe3w0qbo/U5gwiPR2ZkI/AAAAAAAFpwI/tby0sMTNhBY/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora
![](http://2.bp.blogspot.com/-f0gDe3w0qbo/U5gwiPR2ZkI/AAAAAAAFpwI/tby0sMTNhBY/s1600/unnamed+(1).jpg)
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...
11 years ago
GPL26 Apr
SHINDANO LA MAMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2013-2014 YAZINDULIWA
11 years ago
GPLSHINDANO LA MAMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2013-2014 YAZINDULIWA LEO
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 1
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 2
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Wakifuata ramani ya Mwalimu kumpata mgombea urais bora hawa wamekwisha