Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA KILI 2015 KILICHOMPONZA DIAMOND NI HIKI!

Waandishi Wetu Tuzo za Muziki za Kili 2015, Jumamosi ya wiki iliyopita zilitimua vumbi kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya Watanzania wanaopenda burudani walikuwa wakifuatilia mwenendo mzima wa tuzo hizo, ambapo msanii Ali Kiba aling’ara baada ya kunyakua tuzo tano na kumuacha mbali hasimu wake mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ aliyeambulia tuzo mbili tu. Baadhi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ali Kiba, Diamond ‘wakacha’ tuzo za Kili 2015 kiaina

Licha ya kutajwa kuwania vipengelre vingi na kushinda tuzo nyingi, mwanamuziki Ali Kiba sambamba na hasimu wake Diamond Platnumz, hawakutokea katika hafla ya utoaji wa tuzo za muziki za Kilimanjaro uliofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa Mlimani City.

 

10 years ago

Mtanzania

Ali Kiba, Diamond, Jux wapeta tuzo za Kili

Diamondalikiba1juxNA ZAITUNI KIBWANA
WASANII wa muziki wa bongo fleva, Ali Kiba, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Juma Jux, wameingia katika vinyang’anyiro sita vinavyogombewa katika tuzo za muziki ‘Kili Music Award’.
Ali Kiba ameingia kwenye kipengele cha mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume, wimbo bora wa mwaka, mwimbaji bora wa kiume, mtunzi bora, video bora ya mwaka na mwimbaji bora wa Afro-Pop.
Naye Diamond ameingia kwenye kipengele cha mtumbuizaji bora, mwimbaji bora, mtunzi bora, wimbo bora wa Zouk, wimbo bora...

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015 KATIKA PICHA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia) akimkabidhi ndugu wa karibu wa Mwanamuziki, Ally Kiba Tuzo ya tano katika hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha zote kwa hisani ya Father Kidevu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka kwa niaba ya aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT, Marehemu Kaptani John Komba Tuzo ya udau wa Muziki aliyefanikisha maendeleo ya Muziki (Hall of Fame).

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi. Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto). MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND 2. KIKUNDI…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani