TYGA, KYLIE WAPEWA ZAWADI YA MBWA WA DOLA 50,000
![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22cZcCUrPGZyjOkAVe10DbH5GOEhROkWpj6ko1mY27ZWfFV3d2XHpvINhrOwvSnW-AirRMwxJJlYZUEtWsMMDn9/kyliejennertyga.jpg?width=650)
Staa wa muziki wa kufoka Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner. New York, Marekani UHUSIANO ya staa wa muziki wa kufoka Tyga, 25, na Kylie Jenner, 18, umezidi kukolea baada ya wapendanao hao kuongezewa rafiki mwingine ambaye ni mbwa waliyepewa kama zawadi na Jeremy Greene, ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya PingTank, ambayo inajihusisha na mitandao ya kijamii. Wawili hao wamempa mbwa huyo jina la Rolly, wamekuwa wakizunguka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5wbgp7e1jWQcmCyeCH3GRMIixoYLlQTroQGvWrThkpSI-dtfUfevH8UJTqWNmXC9Ep3EVTYiqDe*z*uJ12grN8/KylieJennerDUFFShirt.jpg?width=650)
KYLIE: TYGA MUAMINIFU 100%
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKsRGobia8zWGlNEpo4ktULPpz4*d9vHJZQbo06unQPNiBEt690nk*uPc3R5vPsqOu7oO8aF-lVRD7f0YkEciQh/1414128420859_wps_22_Rapper_Tyga_seen_leaving_.jpg?width=650)
TYGA AANZA KUFIKIRI NDOA NA KYLIE
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.
Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.
Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.
Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;
“Kila mwaka katika msimu huu wa...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Tyga ampa gari mpenzi wake Kylie
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tyga juzi amemnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon, kama zawadi ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa.
Mrembo huyo juzi alitimiza miaka 18 juzi. Zawadi hiyo ilimshtua kutokana na kutotegemea kupata zawadi kama hiyo kutoka kwa mpenzi huyo.
“Ni bonge la zawadi kwa upande wangu, sikutarajia kupokea zawadi kama hii, Tyga ameonesha upendo wa dhati kutoka kwangu,” alisema Kylie.
9 years ago
Bongo526 Nov
Kylie Jenner akanusha taarifa za kuachana na Tyga
![kylie-tyga-ellen](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kylie-tyga-ellen-300x194.jpg)
Mrembo wa familia ya Kardashians, Kylie Jenner amezungumzia kuhusu taarifa zilizosambaa wiki iliyopita kuwa amempiga chini rapper Tyga ambaye ni boyfriend wake.
Akizungumza katika kipindi cha The Ellen Show, Kylie amekanusha kuhusu uvumi huo na kusema kuwa watu walielewa vibaya lakini yeye na Tyga hawajaachana.
“Honestly, people have it all wrong, We’re not broken up. We became best friends before anything happened, so I think that that’s awesome and we’re just like, hanging out.”
Baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCBkvklC5QH9p5emsG-YsV6J69Az*-mlw6UOzxEO*mJ6uDDROZRDil-sJWQpVEFaBoQSWXPKPkTF7kqbmJ-dsaB/27959ADD000005783039495imagem37_1429085955348.jpg?width=650)
TYGA, KYLIE WANASWA KWENYE DUKA LA VITO
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Kylie Jenner, Tyga kuachana kisa jina la Drake?
NEW YORK, Marekani
BAADA ya wiki kadhaa za furaha ya nyota wa muziki nchini Marekani, Tyga kumnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon alipofanya sherehe ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake, hali imebadilika na kuwa ya huzuni.
Uhusiano wa wawili hao unaonekana kuingiwa na mdudu mbaya baada ya kutokea malumbano kati yao ambapo kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood life, chanzo ni kwamba Tyga alimtukana mpenzi wake huyo kwa kumfananisha mambo mabaya na Drake.
Mtandao huo...
9 years ago
Bongo521 Nov
Kylie Jenner ampiga chini Tyga kwenye birthday yake
![Tyga and Kylie](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Tyga-and-Kylie-300x194.jpg)
Couple ya mrembo Kylie Jenner na rapper Tyga inasemekana imevunjika.
Kwa mujibu wa TMZ, couple hiyo imevunjika baada ya kutokea ugomvi mkubwa ambao Tyga ndio chanzo.
Kylie amempiga chini Tyga siku ya Alhamisi NOV.19, siku ambayo Tyga alikuwa akisherehekea birthday yake ya 26 na marafiki mbalimbali wakiwemo A$AP Rocky, Wiz Khalifa, Jamie Foxx na Leonardo DiCaprio, lakini Kylie hakuonekana, wala yeye na dada zake hawakum-wish happy birthday kwenye mitandao ya kijamii.
Vyanzo vingine vimesema...