UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya msingi. waliomzunguka ni wakazi wa mtaa wa segerea wakimuhoji afisa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
MichuziUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
VijimamboWAKAZI WA MTAA WA MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI
10 years ago
Michuzi14 Dec
JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA CHADEMA MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA, JAPHET KEMBO AWAGARAGAZA WAPINZANI WAKE KWA KUPATA KURA 510
9 years ago
Bongo509 Nov
Batuli kuja kivingine baada ya uchaguzi
![12080693_790121817765870_2078775622_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12080693_790121817765870_2078775622_n-300x194.jpg)
Muigizaji wa filamu, Batuli amesema amejipanga kuja tofauti katika filamu zake baada ya kujifunza mambo mengi kutoka kwenye kampeni za uchaguzi alizoshiriki.
Batuli ameiambia Bongo5 kuwa atafanya kazi kubwa ili kuhakikisha kazi zake zinagusa maisha ya watanzania wa kawaida aliowaona wakati akizunguka kwenye kampeni za CCM.
“Nakuja kivingine kwa sababu nimejifunza mengi kwenye kampeni na kuna umuhimu wa kuviweka kwenye kazi zangu,” amesema. “Nitafanya filamu za kibongo kama kawaida lakini...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RNHlHMsJ1j4/VlC59msV4WI/AAAAAAAIHsE/Gy-uxMbRzpg/s72-c/unnamed.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-6D7IGfP8vl8/VfZU4QUYGkI/AAAAAAAA1HI/shfm0v2w7WU/s72-c/ZITTO.jpg)
CHADEMA WATAMKUMBUKA DK SLAA MARA BAADA YA UCHAGUZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-6D7IGfP8vl8/VfZU4QUYGkI/AAAAAAAA1HI/shfm0v2w7WU/s640/ZITTO.jpg)
Jana katika mahojiano na Tiddo Muhando kwenye kipindi cha Funguka, Zitto Kabwe amewaonya wana CHADEMA wanaomtusi Dr Slaa kwa sababu ya Lowassa kuwa watamkumbuka baada ya uchaguzi. Watu makini kama Dr Slaa na Prof Lipumbawanaondoka na watu eti wanamuona Lowassa leo kawa bora?
Zitto kasema hivi sasa CHADEMA msingi wake umekuwa ni "Lowassa" na si kupambana na ufisadi tena. Baada ya uchaguzi hakutakuwa na CHADEMA ile tuliyoifahamu na ndipo hapo watanzania watakapomkumbuka Dr Slaa.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.