WAKAZI WA MTAA WA MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI
Wakazi wa Mtaa wa Migombani wakimzonga Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea ambae amekuja kutangaza kurudia uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani leo ambao ulifanyika tarehe 14 Disemba 2014 ambapo mgombea wa Nafasi ya Mwenyekiti Japhet Kembo Kutoka Chadema aliibuka Mshindi kwa Kura 547. Wakazi hao wamegoma kurudia uchaguzi huo kutokana na kile ambacho Afisa Mtendaji huyo alitangaza katika uchaguzi wa Mtaa huo uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 kuwa Uchaguzi ni Halali na Matokeo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
VijimamboUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
GPLUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
Michuzi14 Dec
JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA CHADEMA MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA, JAPHET KEMBO AWAGARAGAZA WAPINZANI WAKE KWA KUPATA KURA 510
10 years ago
StarTV19 Jan
Wakazi Migombani Kinyerezi Dar wamuapisha Mwenyekiti SM
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Wakazi wa mtaa wa Migombani eneo la Kinyerezi jijini Dar es Salaam wameamua kuchukua hatua za kumuapisha mwenyekiti wa mtaa huo baada ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Isaya Mngurumi kuweka zuio kwa madai ya kutekeleza amri kutoka mamlaka za juu zilizomtaka kuzuia kuapishwa kwake.
Hata hivyo bado wakazi hao wanadai kutokupewa sababu za msingi za kusimamishwa kwa zoezi hilo matokeo yakionyesha ushindi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mitaa 89 Dar kurudia uchaguzi leo
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Baraza kuu CUF lakataa kurudia uchaguzi Z'bar
9 years ago
GPLUCHAGUZI MKUU UKAWA WAGOMEA