Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitaa 89 Dar kurudia uchaguzi leo

Jumla ya mitaa 89 kutoka wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam, leo zinatarajiwa kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ACT-TANZANIA CHAFANYA TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR LEO.

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam. Wanachama wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa  kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa ya Chama kwa kipindi cha miezi sita na tathimini ya uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni. Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR WALALAMIKIWA

Zoezi la upigaji kura lilivyokuwa maeneo ya kituo cha Mapambano.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAKAZI WA MTAA WA MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI

Wakazi wa Mtaa wa Migombani wakimzonga Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea ambae amekuja kutangaza kurudia uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani leo ambao ulifanyika tarehe 14 Disemba 2014 ambapo mgombea wa Nafasi ya Mwenyekiti Japhet Kembo Kutoka Chadema aliibuka  Mshindi kwa Kura 547. Wakazi hao wamegoma kurudia uchaguzi huo kutokana na kile ambacho Afisa Mtendaji huyo alitangaza katika uchaguzi wa Mtaa huo uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 kuwa Uchaguzi ni Halali na Matokeo...

 

9 years ago

Mwananchi

Baraza kuu CUF lakataa kurudia uchaguzi Z'bar

Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), limekutana na kusisitiza kuwa hawatarudia uchaguzi wa Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

JIONI YA LEO MWANZA,MWIGULU AFUNIKA MKUTANO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA


Mapokezi ya Mwigulu Mwanza jioni ya
leo tar 12.12.2014 Viwanja vya shule ya Msingi Mabatini.Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatini akiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma.Wananchi wakifurahia Ujio wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mabatini Mwanza hii leo.Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionekana kukasilika na Kitendo cha Machinga na Mamantile kunyanyaswa Jijini Mwanza,Hivi sasa ameomba Halmashauri ya ...

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Serikali za Mitaa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo Bw. Fumbuka Ditopile akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo  Mwenyekiti  na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam.

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba  Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA ACT-TANZANIA CHAFANYA TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam. Wanachama wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa  kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa ya Chama kwa kipindi cha… ...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Na Bashir Nkoromo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa.  Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na takwimu CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 2708, mitaa 644, na vitongoji zaidi ya...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa wakati wa zoezi la marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 21/12/2014 katika baadhi ya vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam.
Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani