UCHAGUZI MKUU UKAWA WAGOMEA
Edward Lowassa anayegombea kupitia Chama wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiongea na waandishi wa habari. Waandishi wetu WAKATI nchi ipo kimya kumsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akitangaza matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika nchini kote Jumapili iliyopita, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeyagomea matokeo hayo huku mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Ukawa wahofia Uchaguzi Mkuu kuahirishwa
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s72-c/images.jpg)
WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi
![](http://2.bp.blogspot.com/-4i1w6W-bFmE/U7MBkgH5VuI/AAAAAAAFt_4/haAWClKy-xo/s1600/images.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...
10 years ago
VijimamboWAKAZI WA MTAA WA MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
UKAWA watangaza majimbo waliyogawana katika Uchaguzi Mkuu
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga.
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo na...
9 years ago
MichuziUKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Vijimambo30 Apr
9 years ago
GPLUKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
VijimamboPICHA :UKAWA WAKINGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Ukawa: CCM wanataka Katiba mpya itumike uchaguzi mkuu
Fredy Azzah, Dar es Salaam
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai kubaini mpango wa siri wa Serikali kutaka kuipitisha kwa hila Katiba Inayopendekezwa itumike kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Freeman Mbowe, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama cha Wananchi (CUF) Buguruni, Dar es Salaam.
“Tumepata taarifa kuwa CCM imeamua aidha inyeshe mvua au isinyeshe, Katiba Inayopendekezwa itapita kwenye kura ya maoni waweze...