UKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, akizungumza katika mkutano huo. Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi,  Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao katika uchaguzi mkuu....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
UKAWA watangaza majimbo waliyogawana katika Uchaguzi Mkuu
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga.
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo na...
9 years ago
MichuziUKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
VijimamboPICHA :UKAWA WAKINGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RNHlHMsJ1j4/VlC59msV4WI/AAAAAAAIHsE/Gy-uxMbRzpg/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Jun
UCHAGUZI MKUU: Membe: Wapimeni watangaza nia
9 years ago
GPLMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Majimbo 10 yaliyotingisha uchaguzi Mkuu 2015
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CUIkpoQKmXc/VWCC4Hhz8rI/AAAAAAAAG14/60CSfEEEXFc/s72-c/P5239263.jpg)
MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA RCC NA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA KUANZISHA MAJIMBO MAWILI MAPYA YA UCHAGUZI KATIKA WILAYA ZA SUMBAWANGA NA KALAMBO
![](http://2.bp.blogspot.com/-CUIkpoQKmXc/VWCC4Hhz8rI/AAAAAAAAG14/60CSfEEEXFc/s640/P5239263.jpg)
Majimbo hayo yatazaliwa katika majimbo yaliyopo hivi sasa ambapo kwa jimbo la Kwela ambalo lipo katika Wilaya...
10 years ago
MichuziNEC KUTANGAZA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI MKUU 2015, JUNI 31
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kailima Ramadhani amesema ugawaji huo utakuwa umezingatia idadi ya watu,jiografia ya eneo husika pamoja mawasiliano na uchumi ili kuweza kuwalishwa na bunge katika maendeleo ya jimbo.
Ramadhan...