Wakazi Migombani Kinyerezi Dar wamuapisha Mwenyekiti SM
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Wakazi wa mtaa wa Migombani eneo la Kinyerezi jijini Dar es Salaam wameamua kuchukua hatua za kumuapisha mwenyekiti wa mtaa huo baada ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Isaya Mngurumi kuweka zuio kwa madai ya kutekeleza amri kutoka mamlaka za juu zilizomtaka kuzuia kuapishwa kwake.
Hata hivyo bado wakazi hao wanadai kutokupewa sababu za msingi za kusimamishwa kwa zoezi hilo matokeo yakionyesha ushindi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAKAZI WA MTAA WA MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Mapya yaibuka kuapishwa kwa mwenyekiti wa Segerea-Migombani
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Mapya yaibuka kuapishwa kwa mwenyekiti wa Segerea-Migombani
Wakili wa Kujitegeme, Iddi Msawanga(kulia) akimuapisha Japhet Kembo (aliyenyanyua mkono) kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Migombani, katika hafla iliyofanyika nje ya ofisi za mwenyekiti wa mtaa huo, Segerea Mwisho Dar es Salaam . Japhet aligombea nafasi hiyo kupitia chama cha Chadema. Picha na Emmanuel Herman
Dar es Salaam. Siku moja baada ya wakazi wa Mtaa wa Segerea-Migombani jijini hapa kumwapisha mwenyekiti wao kwa kumtumia wakili wa kujitegemea, mapya yameibuka.Uapishaji huo...
10 years ago
MichuziMASHIMOZZZ BARABARA YA MIGOMBANI, MIKOCHENI "A" JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi14 Dec
JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...
10 years ago
GPLTASWIRA ZA KUVUNJIKA DARAJA LA KINYEREZI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziSHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION
10 years ago
GPLSHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Camera ya MOblog yamulika wakazi wa mji wa Singida wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA
Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida ,wakifuatilia kwa makini hutoba ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, wakati akihutubia Watanzania kupitia kituo cha televisheni cha ITV jana kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama hicho cha upinzani.(Picha na Nathaniel Limu).