Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI WA UMOJA WA WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI KUFANYIKA MACHI 21, 2020


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI WA KAMATI YA UTENDAJI YA TASWA KUFANYIKA MACHI 2,2014

Uchaguzi wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utafanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.
Fomu kwa ajili ya waombaji uongozi zinaanza kutolewa Jumatatu (Februari 24 mwaka huu) kwenye ofisi za Idara ya Habari. Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Ada kwa wagombea wa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mhazini na Mhazini Msaidizi ni sh. 50,000 kwa fomu....

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AFUTA MIKUTANO YOTE YA WADAU WA KILIMO ILIYOPANGWA KUFANYIKA MWEZI MACHI NA APRILI 2020 ILI KUJIEPUSHA NA CORONA



Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akitoa taarifa ya kufuta mikutano ya wadau wa kilimo wakati akizungumza Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 22 Machi 2020.


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma

Kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa homa kali ya mapafu ujulikanao kama corona Wizara ya Kilimo imeamua kufuta mikutano yote ya wadau wa mazao ya kilimo iliyopangwa kufanyika kati ya mwezi Machi na Aprili, 2020 hadi hapo baadae maelekezo yatakapotolewa na kuziagiza Bodi za mazao na Taasisi...

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA MTV MAMA KUFANYIKA LEO, DURBAN AFRIKA KUSINI

Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji, mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa kuwa  msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa Tuzo za MTV Africa Music Award 2014 zikatakazo tolewa leo jijini Durban Kwazulu - Natal nchini Afrika Kusini.
...

 

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania hawajafa Afrika Kusini’

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa watanzania waishio Afrika Kusini, kutokana na machafuko yaliyotokea nchini humo. (Picha na Fadhili Akida).SERIKALI imesema hakuna Mtanzania aliyekufa Afrika Kusini, licha ya watu kadhaa kutoka mataifa mengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa

Dar es Salaam. Serikali imewarejesha nyumbani Watanzania 26 walioathiriwa na mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni katika Jiji la Durban nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania 23 walijificha dukani Afrika Kusini

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
SERIKALI imesema Watanzania 23 wamenusurika kuuawa katika ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kujificha kwenye duka kubwa (Supermarket).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hadi jana hakuna taarifa za Mtanzania aliyepoteza maisha.
Alisema katika vurugu hizo, watu wanane ambao walifariki dunia wanatoka nchi za Malawi, Msumbiji, Ethiopia,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani