UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI
![](http://img.youtube.com/vi/MAZtm5QSZmU/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/inH-0GdWXoo/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI LEO
SIMU.TV: Profesa Lipumba aachiwa huru. Rais Magufuli atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi. Shule binafsi marufuku kuongeza ada; https://youtu.be/7bO6JnD7hNASIMU.TV: Makontena 2431 yatoka TPA bila ushuru. Serikali yajipanga kuifumua TANESCO. Kito cha radio Hits FM chavamiwa, chachomwa; https://youtu.be/inH-0GdWXoo SIMU.TV: Vigogo TRA wakutwa na mamilioni nyumbani. Mama lishe akutwa akipika chakula juu ya chemba ya maji taka; https://youtu.be/6f0nyf3sqRgSIMU.TV: Ngoma apewa Sh. Milioni 200. Tambwe...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/LTy0uw0zdCo/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI JULY 16
STAR TV: Shule za binafsi na za Serikali ngoma droo katika matokeo ya kidato cha sita.Pata habari kamili katika magazeti ya leo July 16; https://youtu.be/rSp5Fl0nhGQCH 10:Kingunge ajilipua tena,atofautiana na jaji Warioba, atoa shutuma nzito, ambeba Lowasa. Ni katika dondoo za magazeti ya leo July 16; https://youtu.be/Htt-qLCcQ2c
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MAZtm5QSZmU/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI LEO
Ni saa 144 za kufa, kupona urais 2015, UKAWA, CCM wachuana Dar Kwa bendera. Pata dondoo za magazeti ya leo kupitia Simu.Tv; https://youtu.be/mY6Gr0QcaLI Hivi Msimbazi mmemsoma vyema kocha Dylan Kerr? Gazeti la Mwanaspoti linakuja na kichwa hicho cha habari, kufahamu zaidi hapa; https://youtu.be/JAyNHZ5uFq4 Pata habari za kisiasa,kiuchumu na kijamii zilizoandikwa katika magazeti ya leo Octoba 19.2015 hapa Simu.Tv; https://youtu.be/bfrb8qNb_uM
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lIVoBh1Hydg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI NDANI YA SIMU TV
Magufuli afunika jijini Dar es salaam. Kwa habari kemkem zama hapa SIMUtv kutazama uchambuzi zaidi ; https://youtu.be/u9gu21yobrA
CH 10
Je unajua magazeti ya leo yameandika nini jumatano hii? Tazama uchambuzi wa habari za magazetini. SIMUtv; https://youtu.be/lIVoBh1Hydg
STAR TV
Polisi watoa Shilling million 50 kuwanasa wauwaji Dar es Salaam. Pitia dondoo za magazeti ya leo 15 July 2015 hapa SimuTV, https://youtu.be/WPx-UyUkT04
AZAM TV
Yanga yajichimbia jeshini Dar, Wawekewa ulinzi mkali....
9 years ago
Michuzi20 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015
Kesi ya mita 200 ya uchaguzi mkuu kuanza leo. Pata habari motomoto zilizopamba kurasa za magazeti ya leo; https://youtu.be/NbbanyVNgHg
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...

Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ib5zCL2E9sw/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI JULY 13, 2015
STAR TVFuatilia kwa kina habari zilizoandikwa katika magazeti ya leo kuanzia kitaifa, kimataifa na michezo hapa SIMUtv; https://youtu.be/qPcwPphJ9TETBCFahamu kwa undani kile kilichoandikwa katika magazeti ya leo Jumanne July 14, 2015 Bofya kutazama simutv; https://youtu.be/X-CzIFzssLY
9 years ago
Michuzi14 Oct
UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI
Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 14, 2015
TBC NEC Yatumia Mfumo Mpya, ni mfumo wa kujumlisha matokeo, Dkt. Magufuli aomba kura kwenye Mabasi. Pata dondoo hizi za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/4I5dO8epJR8
Star TVMagufuli Aahidi Bima Ya Afya Kwa Wananchi, Lowassa Kupigania Mikataba ya Madini, Mahujaji wengine 4 wagundulika kufariki. Habarika hapa zaidi. https://youtu.be/qqM7snXi8kM
CH 10Lowassa ageukia Madini, JK awajia Juu Viongozi...

Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XWUUCYUPfLY/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI LEO JULY 9, 2015 NA SIMU TV
CH 10Watoto watano wa familia moja wateketea kwa moto. Pata habari kamili katika magazeti ya leo July 9 kupitia Simu.Tv;https://youtu.be/RZRCPNeAOO0STAR TVUKAWA wajichimbia kuchukua serikali Oktoba.Pitia dondoo za magazeti ya leo Alhamisi hapa Simu.Tv;https://youtu.be/4SKvo9M0S8w
9 years ago
Michuzi10 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 10, 2015.
Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 10, 2015
Star TVSlaa asema raisi wangu ni Dkt. Magufuli,tatizo la umeme ni la muda mfupi na linafanyiwa kazi na serikali, pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/aGdg2yzuZiM
Ch 10Lowassa, Kingunge Moto Arusha, Bulaya Asota Rumande, atolewa kwa dhamana, Magufuli amlipua Mbatia. Habarika na Magazeti ya Leo October 10. https://youtu.be/8pS5vbwl8Uo
Azam TVFuatilia habari mbalimbali za Magazeti ya michezo...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania