UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015
Kesi ya mita 200 ya uchaguzi mkuu kuanza leo. Pata habari motomoto zilizopamba kurasa za magazeti ya leo; https://youtu.be/NbbanyVNgHg
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi10 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 10, 2015.
Star TVSlaa asema raisi wangu ni Dkt. Magufuli,tatizo la umeme ni la muda mfupi na linafanyiwa kazi na serikali, pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/aGdg2yzuZiM
Ch 10Lowassa, Kingunge Moto Arusha, Bulaya Asota Rumande, atolewa kwa dhamana, Magufuli amlipua Mbatia. Habarika na Magazeti ya Leo October 10. https://youtu.be/8pS5vbwl8Uo
Azam TVFuatilia habari mbalimbali za Magazeti ya michezo...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/-9yZ23YwPO4/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 15, 2015
Azam TVYanga yaipania Azam fc, Mwingereza,Mholanzi vitani . Pata kujua kile wahariri wa michezo walichokipa kipaumbele siku ya leo; https://youtu.be/31MOwWiwhnI
MLIMANI TV Sh.Bilioni 7.8 zatumika ‘kununua’ ikulu. Waratibu walipwa...
9 years ago
Michuzi16 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015
TBCMagufuli Ataja Tiba ya Ajira na Foleni Dar, Msajili wa Vyama Aonya wanaotaka kubaki vituoni. Ungana nasi upate dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/E83liI7wTOM
Star TVMwenyekiti mwenza wa UKAWA Afariki Dunia, Ujenzi Barabara ya Juu Dar kuanza mwezi ujao, kwa hayo na mengine mengi habarika hapa. https://youtu.be/cXwsSqS_iAc
CH 10Lowassa ainyooshea kidole NEC, Magufuli kuwasainisha mikataba...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mEQi3-EJ7nQ/default.jpg)
UCHAMBUZI WA MAGAZETI OKTOBA 24,2015
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8TG2vUCkkDc/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SqAFJXvX1EY/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...
9 years ago
Michuzi21 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ib5zCL2E9sw/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI JULY 13, 2015
9 years ago
Michuzi29 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.
SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRASIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckESIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa...