Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA MAGAZETI OKTOBA 24,2015

Magufuli afunika Dar ,Lowassa awanadi viongozi CCM kwenye kampeni ,UKAWA kufunga kampeni jangwani. Tazama uchambuzi wa magazeti. Mahakama yapiga marufuku kukaa mita 200,Magufuli afunika,Lowassa asema mwisho wa CCM kesho. Fuatilia uchambuzi wa magazeti ya leo. https://youtu.be/0OygojVUywgUKAWA wapata pigo,mwisho wa CCM ni kesho asema lowassa, Mahakama yapiga marufuku mita 200.Fuatilia habari kupitia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/TuyqynV3cuYVan Gaal na Wenger watofautiana,Yanga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015

Kesi ya mita 200 ya uchaguzi mkuu kuanza leo. Pata habari motomoto zilizopamba kurasa za magazeti ya leo; https://youtu.be/NbbanyVNgHg
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk 
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 10, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 10, 2015
Star TVSlaa asema raisi wangu ni Dkt. Magufuli,tatizo la umeme ni la muda mfupi na linafanyiwa kazi na serikali, pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/aGdg2yzuZiM
Ch 10Lowassa, Kingunge Moto Arusha, Bulaya Asota Rumande, atolewa kwa dhamana, Magufuli amlipua Mbatia. Habarika na Magazeti ya Leo October 10. https://youtu.be/8pS5vbwl8Uo
Azam TVFuatilia habari mbalimbali za Magazeti ya michezo...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 16, 2015
TBCMagufuli Ataja Tiba ya Ajira na Foleni Dar, Msajili wa Vyama Aonya wanaotaka kubaki vituoni. Ungana nasi upate dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/E83liI7wTOM
Star TVMwenyekiti mwenza wa UKAWA Afariki Dunia, Ujenzi Barabara ya Juu Dar kuanza mwezi ujao, kwa hayo na mengine mengi habarika hapa. https://youtu.be/cXwsSqS_iAc
CH 10Lowassa ainyooshea kidole NEC, Magufuli kuwasainisha mikataba...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 15, 2015

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni Oktoba 15, 2015.Channel 10TBC Hatutawavumilia watakaofanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu, Mwili wa waziri Kigoda kuagwa leo. Ndivyo yasemavyo magazeti ya leo;  https://youtu.be/CGjIrO7T8q0
Azam TVYanga yaipania Azam fc, Mwingereza,Mholanzi vitani . Pata kujua kile wahariri wa michezo walichokipa kipaumbele siku ya leo; https://youtu.be/31MOwWiwhnI
MLIMANI TV Sh.Bilioni 7.8 zatumika ‘kununua’ ikulu. Waratibu walipwa...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015

Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti; Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza  mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini;  https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti;  https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015

Kesi ya mita 200 moto, Lowasa sasa atishia kushtaki jeshi la polisi ICC. GP Hamdan awaonya waoandaa vurugu. Ni katika magaazeti ya leo Octoba 22.2015;https://youtu.be/TkIYjEUaJyw Yanga acha kabisa, Chipukizi Simba kutimukia Ubelgiji, Ndemla afunguka. Nyoso atafutiwa mbadala. Kwa habari hizi na nyingezo za michezo utazipata katika udondozi wa magazeti hapa Simu.tv ; https://youtu.be/yL4C4fUOPgo Rais Kikwete asema wanaimarisha jeshi ili kulinda mipaka ya nchi, NHIF yapania makubwa. Pata habari za...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015

  Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/he5sNUP8L1A  Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ;  https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA MAGAZETI - SEPTEMBER 30.2015

Msigwa na wengine 62 mbaroni Mkoani Iringa .Fahamu kilichojiri katika nyanja za siasa kama yasemavyo magazeti ya leo;  https://youtu.be/yt0b6QW10-c
 Simba yamshitaki Donald Ngoma. Viti  vyaizuia Yanga kufanya mazoezi katika uwanja wa Jamuhuri,   https://youtu.be/mDzS67eL7wE
 NEC yapiga marufuku kusafirisha masanduku ya kura.Rais mpya kujulikana ndani ya masaa 72 tu; https://youtu.be/updRyyX0WSg
Magufuli asisitiza kufa na mafisadi.Siri ya Lowasa kuhairisha mkutano Tanga yawekwa wazi, Lowasa...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI SEPTEMBER 19. 2015


TBC: Pinda afanya mazito kijijini alipotoka. Pata habari motomoto za kisiasa na kijamaa kama zilivyoandikwa katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/pXQgstDxF7s
STAR TV: Polisi yauwa majambazi hatarI Arusha.habari hii utaipata kwa undani katika magazeti ya leo Septemba 19,2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/PbVzoDFIX3U
AZAM TV: JKT Ruvu, Yanga patashika leo uwanja wa taifa, Ngoma asema atawafunga mpaka wakome. Pata dondoo za magazeti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani