Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015

Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti; Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza  mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini;  https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti;  https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015

Kesi ya mita 200 moto, Lowasa sasa atishia kushtaki jeshi la polisi ICC. GP Hamdan awaonya waoandaa vurugu. Ni katika magaazeti ya leo Octoba 22.2015;https://youtu.be/TkIYjEUaJyw Yanga acha kabisa, Chipukizi Simba kutimukia Ubelgiji, Ndemla afunguka. Nyoso atafutiwa mbadala. Kwa habari hizi na nyingezo za michezo utazipata katika udondozi wa magazeti hapa Simu.tv ; https://youtu.be/yL4C4fUOPgo Rais Kikwete asema wanaimarisha jeshi ili kulinda mipaka ya nchi, NHIF yapania makubwa. Pata habari za...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015

  Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/he5sNUP8L1A  Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ;  https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015

Familia mbili zanusurika kifo Pemba. Vigogo zaidi wafyeka ubunge.Pitia dondoo za hahbari za magazeti hapa;Dr.Magufuli anusa harufu ya ikulu, Waangalizi wapongeza mchakato wa uchaguzi. Pata habari zaidi katika magazeti ya leo; https://youtu.be/DkLFy4SEpgYZEC yaagiza vyombo vya dola vimkamate Maalim Seif, UKAWA wasema hatukubali matokeo ya urais;  https://youtu.be/lBrQxhGgSY8
Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015

Kesi ya mita 200 ya uchaguzi mkuu kuanza leo. Pata habari motomoto zilizopamba kurasa za magazeti ya leo; https://youtu.be/NbbanyVNgHg
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk 
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii Oktoba 29, 2015.
SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRASIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani  kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckESIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015.

SIMUtv: Utambue mpango wa kujitolea kuwasaidia watanzania kiafya ikiwemo magojwa ya saratani ya matiti na magojwa mengine yasioambukizwa:Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 17, 2015.
SIMUtv: Fuatilia namna ambavyo vuguvugu la kampeni za uchaguzi Mkuu linavyoweza kusababisha vurugugu siku ya uchaguzi https://youtu.be/EUyKaqh2fgQ
SIMUtv: Tambua ni kwa kiasi gani sera za wagombea kutoka vyama mbalimbali zimegusia saula la kupunguza ajari za...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 23, 2015.Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kukabana koo na Mabingwa wa Ligi kuu soka Klabu Ya Yanga baada ya kufikisha Pointi 19 sawa na YangaTimu Ya soka Ya Stand United ya shinyanga imrjinasibu na kusema wembe ni ule ule wa ushindi ili kushika usukani wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. https://youtu.be/GDoHdphwLMA  Timu ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi ya kujinoa kuikabili Aljeria...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Usiku Huu October 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na  saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani