HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015
Familia mbili zanusurika kifo Pemba. Vigogo zaidi wafyeka ubunge.Pitia dondoo za hahbari za magazeti hapa;Dr.Magufuli anusa harufu ya ikulu, Waangalizi wapongeza mchakato wa uchaguzi. Pata habari zaidi katika magazeti ya leo; https://youtu.be/DkLFy4SEpgYZEC yaagiza vyombo vya dola vimkamate Maalim Seif, UKAWA wasema hatukubali matokeo ya urais; https://youtu.be/lBrQxhGgSY8
Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziUCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015
9 years ago
MichuziUCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...
9 years ago
Michuzi21 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi20 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...
9 years ago
Michuzi19 Oct
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA 19, 2015
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi awaomba vijana mjini Zanzibar kutokubali kutumika na wanasiasa kuharibu amani; https://youtu.be/BxVbGJH8ezk
Dkt Magufuri azidi kung’ara mjini Mwanza kwa watu wengi kujitokeza na huku akiahidi kuboresha bei ya pamba: https://youtu.be/mQ3jniGJGPc
Wanaharakati mjini Arusha waiomba tume ya taifa ya uchaaguzi...
9 years ago
Michuzi16 Oct
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA,16 2015
Waratibu wa elimu wakabidhiwa pikipiki 82 Mkoani Lindi kwajili ya kuimarisha usimamizi wa elimu katika maeneo ya kazi ya mkoa huo, https://youtu.be/nxcOoQrqBUY
Wafanyabiashara wa mboga soko la Sanya juu wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya milipuko kutokana na dampo sokoni hapo;https://youtu.be/L1lfMcPXB0E
Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa wanachama wa NLD kufuatia kifo cha...
9 years ago
Michuzi29 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.
SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRASIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckESIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa...
9 years ago
Michuzi22 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia...