UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015
Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo; https://youtu.be/he5sNUP8L1A Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8TG2vUCkkDc/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SqAFJXvX1EY/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/PBf1w3_I_9M/default.jpg)
HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015
Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pPU6xFKHYlU/default.jpg)
9 years ago
Michuzi20 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI OKTOBA 20,2015
Dk.Magufuli asema mabadiliko sio kuzungusha mikono, vyama vinavyounda UKAWA wasitisha kampeni; https://youtu.be/47_EU73pBfQ
Tume yatoa muongozo wa upigaji kura. Mabilioni ya Mbowe yaivuruga CHADEMA. Pata habari katika dondoo za magazeti ya leo; https://youtu.be/eFvmJ9YAsyk
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo, Bin Zubeity avutwa TFF. Ligi kuu yapisha uchaguzi...
9 years ago
Michuzi29 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.
SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRASIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckESIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uiLocx34ki4/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015.
SIMUtv: Fuatilia namna ambavyo vuguvugu la kampeni za uchaguzi Mkuu linavyoweza kusababisha vurugugu siku ya uchaguzi https://youtu.be/EUyKaqh2fgQ
SIMUtv: Tambua ni kwa kiasi gani sera za wagombea kutoka vyama mbalimbali zimegusia saula la kupunguza ajari za...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/IAUBveMznrg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.
9 years ago
Michuzi18 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...