UCHUMBA WA NAY WA MITEGO CHALI
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOT0o1x2yo*t2El3yb6Xja*eWJ4CVba7bSZSszQdqAFE3RfTdw8RZofcKUtEtqS9vQB*1ERHleu3Ea1wS70m3HRH/nay.jpg?width=650)
Na Musa Mateja UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika. Nay akiwa na mpenzi wake Siwema. Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika nyakati tofauti. Chanzo hicho kimeeleza kuwa, wawili hao walimwagana tangu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Wolper Atibua Uchumba wa Nay wa Mitego!!!
UBUYU! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa mbongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema.
Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo fulani ndipo Siwema akaja juu na kuanza kumcharukia bebi wake huyo.
Alipoulizwa Nay wa Mitego kuhusiana na ugomvi huo, alifunguka:
“Wolper ni...
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/BY6VWIVrp23fp0mC8Di3mPRWlOnlnv6UJ9Wd6DecEXHczXUmYKWGplyv3SEPnJ8syYs3lnVl*Zboa*mJA6fGNK8ugXbzJ9am/wolperfull.jpg?width=650)
WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20vMRZJOnT92TuJsZ44Ffho-qrhcI7RVyYiekNGhk7T1ZIPdpn5Ygf7x1Xk09KeAXxeN6vy-zWxvLrtMvSxqtCA/wolper.jpg)
JACK WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY!