Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JACK WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY!

Na MUSA MATEJA Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia madai ya kutoka na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na kudai kuwa wao ni washikaji tu ila ukaribu wao umesababisha mtifuano kati yake na mchumba wake, Siwema.
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum Nay alisema, watu wamekuwa wakieneza kuwa yeye na Wolper...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY

Mwigizaji wa filamu Bongo Jacqueline Wolper. Stori: Musa mateja
KIMENUKA! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Atibua Uchumba wa Nay wa Mitego!!!

UBUYU! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa mbongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema.

Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo fulani ndipo Siwema akaja juu na kuanza kumcharukia bebi wake huyo.

Alipoulizwa Nay wa Mitego kuhusiana na ugomvi huo, alifunguka:
“Wolper ni...

 

9 years ago

Bongo Movies

Uchumba wa Jack Wolper Wavunjika

ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily akitajwa, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.

Wolper alivalishwa pete ya uchumba kwa mbwembwe katika hoteli moja moja maarufu jijini Dar ambapo mwanaume huyo raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo aliahidi kumuoa hivi karibuni huku akijiweka karibu na...

 

11 years ago

GPL

UCHUMBA WA NAY WA MITEGO CHALI

Na Musa Mateja
UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika. Nay akiwa na mpenzi wake Siwema. Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika nyakati tofauti. Chanzo hicho kimeeleza kuwa, wawili hao walimwagana tangu...

 

9 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo...

 

11 years ago

GPL

JACK WOLPER: SIJAWAHI KULIA KUACHWA

Na Mwandishi Wetu
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje. “Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume,...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV KULONGA NA JACK WOLPER LEO

Global TV ambayo ni programu maalum inayoletwa kwenu na Mtandao wa Global Publishers and General Enterprises LTD kwa lengo la kutoa habari, mahojiano na mastaa na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu, leo italonga na staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Katika mahojiano na Wolper maswali mbalimbali yakiwemo yaliyotumwa na wasomaji wetu yataulizwa kwa staa huyo wa Bongo… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jack Wolper na Baba Haji Hapatoshi Ndani ya ‘Kauva’

Wanakutana mastaa wawili wa Bongo Movies, kwenye filamu ya KAUVA na kufanya makubwa ni hatari unajua wasanii hao ni nani nani? Basi si wengine ni Jack Wolper na kipenzi cha wengi mzee wa Malavudavi Haji Adam aka Baba Haji stringi wa Kihindi

Filamu  ya Kauva inatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu kutokana na Teknolojia iliyotumika katika utengenezaji uigizaji na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo kuigiza wameonyesha ushindani mkubwa sana anasema msemaji wa Splash Steve...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego Ameshajulikana

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.


“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa maslahi yao, lakini sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani