Jack Wolper na Baba Haji Hapatoshi Ndani ya ‘Kauva’
Wanakutana mastaa wawili wa Bongo Movies, kwenye filamu ya KAUVA na kufanya makubwa ni hatari unajua wasanii hao ni nani nani? Basi si wengine ni Jack Wolper na kipenzi cha wengi mzee wa Malavudavi Haji Adam aka Baba Haji stringi wa Kihindi
Filamu ya Kauva inatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu kutokana na Teknolojia iliyotumika katika utengenezaji uigizaji na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo kuigiza wameonyesha ushindani mkubwa sana anasema msemaji wa Splash Steve...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies26 Oct
Uchumba wa Jack Wolper Wavunjika
ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily akitajwa, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Wolper alivalishwa pete ya uchumba kwa mbwembwe katika hoteli moja moja maarufu jijini Dar ambapo mwanaume huyo raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo aliahidi kumuoa hivi karibuni huku akijiweka karibu na...
11 years ago
GPLJACK WOLPER: SIJAWAHI KULIA KUACHWA
11 years ago
GPLJACK WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY!
11 years ago
GPLGLOBAL TV KULONGA NA JACK WOLPER LEO
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Baba Haji Kufunga Ndoa Leo
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.
Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.
“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi
NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
10 years ago
GPLBABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO