Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-3

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Karibu tena kwenye busati letu la mahaba, tujuzane mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi. Tunaendelea kuidadavua mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Leo tunamalizia kuangalia namna ya kumsaidia mwanamke mwenye tatizo hili kisha tutahamia kwa upande wa wanaume. 3. MRIDHISHE MUWAPO FARAGHA
Sababu nyingine inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?

Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kutujalia kuiona tena siku ya leo, najua ni wengi waliitamani nafasi hii lakini hawajaipata.Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, karibu tena katika busati zuri la mahaba, mahali tunapobadilishana mawazo, kujuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada ya leo ni maalum kwa wanandoa au watu waliopo kwenye uhusiano unaotambulika. Inahoji; nini cha...

 

10 years ago

GPL

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa kona hii mahususi kwa ajili ya wapendanao, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea fresh na majukumu ya kila siku. Ni wiki nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu, kujadili mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii ya mbinu za kufanya ili kumsaidia mwenzi wako aliyepoteza hamu ya tendo la ndoa. Nilichokigundua ni kwamba wengi wanasumbuliwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa kona hii mahususi kwa ajili ya wapendanao, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea fresh na majukumu ya kila siku. Ni wiki nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu, kujadili mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi

Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii ya mbinu za kufanya ili kumsaidia mwenzi wako aliyepoteza hamu ya tendo la ndoa. Nilichokigundua ni kwamba wengi wanasumbuliwa na tatizo hili lakini hawana pa kusemea wala hawajui wafanye nini.

NINI...

 

10 years ago

Vijimambo

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-3

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Karibu tena kwenye busati letu la mahaba, tujuzane mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi. Tunaendelea kuidadavua mada yetu kama inavyojieleza hapo juu.

Leo tunamalizia kuangalia namna ya kumsaidia mwanamke mwenye tatizo hili kisha tutahamia kwa upande wa wanaume.

3. MRIDHISHE MUWAPO FARAGHA
Sababu nyingine inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mwenzi wake, kama tulivyoangalia awali, ni mwanaume kushindwa...

 

10 years ago

GPL

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?- 4

Ni Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika busati letu la mahaba. Uhali gani msomaji wangu? Bila shaka uko poa. Leo tunamalizia kujadili mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Wiki iliyopita tuliishia kuangalia jinsi rafiki yetu Jackob alivyokuwa akitoa ushuhuda wa namna mke wake anavyosababisha akose hamu ya tendo la ndoa kutokana na uchafu uliokithiri, sababu kubwa ikiwa ni malezi ya mtoto wao mdogo. Niwashukuru wote ambao...

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3

KAMA kuna mambo muhimu unayotakiwa kuyajua katika mapenzi ni pamoja na umuhimu wako kwa mwenzi wako. Ndugu zangu, huwezi kuwa kwenye uhusiano ambao hauna faida. Mambo yanakwenda hovyo, huthaminiwi wala kupewa kipaumbele. Katika mada hii tunaendelea kuangalia ni kwa namna gani utakuwa mwenye umuhimu kwenye uhusiano wako. Ngoja niwachekeshe kidogo; kuna wakati niliwahi kukutana na msichana mmoja ofisini akihitaji ushauri. Jambo...

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao  akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa zaidi katika kuonekana wa kawaida au kudharauliwa ni kuachana wakati wowote – kwa ghafla. Mara nyingi tendo la kuachana kwa wenzi wa aina hii huwa hakuna sababu kubwa sana. Jambo dogo tu linaweza kukatisha uhusiano lakini kumbe ndani kuna siri nyingine kubwa zaidi; kushuka thamani – kupoteza...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-3

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea mambo yanayowafanya wanaume wakose hamu ya tendo la ndoa. Tumeshaona kwamba upungufu wa homoni inayoitwa Testosterone unasababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo mengine katika mfumo wa homoni huchangia tatizo hili. Kama Thyroid haitoi homoni za kutosha, tatizo hili huweza kutokea ingawa mchango wa Thyroid katika tatizo hili ni mdogo sana. Thyroid ni kiungo cha kuzalisha...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai utakuwa u mzima wa afya kabisa. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama ilivyo kwa wanawake.
Katika makala haya tutaaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake na mwisho tutajifunza njia za kutatua au kuondokana na tatizo hili. Mwili wa mwanadamu uliumbwa ukiwa na matamanio na si mbaya kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani