Ufaransa na Ugaidi
Polisi wa Ufaransa wanatathmini kile kinachoaminika kuwa ni mkanda wa kujitoa muhanga, uliopatikana kusini mwa nje ya mji wa Paris
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ufaransa na mikakati dhidi ya Ugaidi
Ufaransa imesema imedhamiria kutokomeza makundi ya wapiganaji wa Kiislam, kufuatia shambulio la Kigaidi la mwishoni mwa juma.
10 years ago
GPL
MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani, Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania