Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji: Tulimkamata Ndambile kimakosa

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imesema mmiliki wa Kampuni ya Ulinzi ya Advance Security, Juma Ndambile alikamatwa kimakosa kwa tuhuma za kuwaingiza nchini na kuwahifadhi makomandoo wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Maelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani

Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia , kulikuwa na matukio mbalimbali.
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize

 

10 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...

 

9 years ago

TheCitizen

Local non-title fights will ruin Cheka’s career, says Ndambile

Tanzania’s famous professional boxer Francis Cheka has been urged to abandon local non-title bouts and focus on international fights to upgrade his standard.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani ilishambulia kliniki 'kimakosa'

Ndege ya kijeshi ya Marekani iliishambulia kliniki moja ya shirika la madaktari wasio na mipaka MSF katika mji wa Afghanistan wa Kunduz

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani:Jeshi latuma Kimeta kimakosa

Maabara moja ya kijeshi huko Utah imetuma zana hatari za kibayolojia za kimeta kwa kambi 9 za kijeshi na Korea Kusini

 

11 years ago

Habarileo

Wakili: Kesi ya Mwale ilifunguliwa kimakosa

UPANDE wa utetezi kwenye kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu ya kutakatisha fedha haramu, umedai mashitaka hayo dhidi ya washitakiwa, yalifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashitaki kutungwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Urusi walikuwa Ukraine kimakosa

Maafisa wa Serikali ya Urusi wamesema kuwa wanajeshi wao walikuwa wamevuka mpaka wa Ukraine kimakosa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani