Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingereza kupokea wanaotatizika Syria

Uingereza imesema itapokea tu wakimbizi wanaoteseka zaidi nchini Syria kama vile wanawake waliobakwa na wazee

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yatakiwa kupokea wasyria 50,000

Kanisa la Kianglikana lataka Uingereza iwapokee wakimbizi 30,000 zaidi ilikupunguza mateso yanayowakumba wakimbizi kutoka Syria

 

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yashambulia Islamic State Syria

Ndege za kijeshi za Uingereza zimetekeleza mashambulio ya angani dhidi ya kundi la Islamic State nchini Syria saa chache baada ya bunge kuidhinisha mashambulio hayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yashambulia tena IS nchini Syria

Ndege za kivita za Uingereza zimeshambulia kwa mara ya pili ngome za wapiganaji wa Islamic State nchini Syria tangu kuidhinishwa kwa operesheni hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki

Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib

 

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

BBCSwahili

Kikwete kupokea rasimu ya katiba

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania hii leo anataraji kukabidhiwa katiba rasmi iliyopendekezwa mjini Dodoma.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanakijiji wagoma kupokea maji

Wakazi wa Kijiji cha Mharamba Wilaya ya Geita mkoani hapa wamegoma kupokea mradi wa maji wa halmashauri hiyo kutoka Ziwa Victoria kwa madai hawajalipwa ujira wao wa Sh25.5 milioni na mkandarasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi wakataa kupokea maabara

Wananchi wa Kata ya Uswaya, wilayani Igunga Mkoa wa Tabora, wamesema hawapo tayari kupokea jengo la maabara lililojengwa katika Shule ya Sekondari ya Igoweko kwa madai kuwa ipo chini ya kiwango.

 

9 years ago

Habarileo

Ruvuma kupokea maendeleo makubwa

RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi mkoani Ruvuma kujiandaa kupokea maendeleo makubwa katika mkoa wao baada ya kuanza kwa shughuli ya uchimbaji madini ya urani yaliyogundulika kwa wingi katika mto Mkuju uliopo kwenye Pori la Akiba la Selous wilayani Namtumbo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani