Ujumbe kutoka nchi za maziwa makuu wamtembelea katibu mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo.
Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya katika wizara ya mambo ya nje, Mhe. Muburi Muita(aliyenyoosha mikono) akiongea na Katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel wakati alipomtembelea ofisini kwake na ujumbe wa kutoka eneo la maziwa makuu(ICGLR) waliokuja kuangalia ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu wa Tanzania na kuelezea kufurahishwa na ushiriki wa vijana wengi katika uchaguzi huu na kwamba uchaguzi ulikuwa wa Amani na mafanikio makubwa.Ujumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.
9 years ago
MichuziKatibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afungua maoyesho ya 10 ya filamu za Asia
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua maonyesho ya 10 ya Filamu za Asia.Pembeni yake ni mabalozi wa nchi mbalimbali za Asia walihoudhuria uzinduzi huo.Maonyesho Hayo yatafanyika kuanzia tarehe 8-17 desemba katika ukumbi wa Century Cinemax Dar Free Market Oysterbay.
Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw,Masaki Okada(wa kwanza kushoto) akizungumza jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA ZIARA BASATA,TBC NA TSN.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA USAFI NA WANANCHI WA UPANGA MASHARIKI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika koleo akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni kuitikia wito wa
kutikia agizo la Mh. Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika toroli akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara BASATA, TBC na TSN!
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers (TSN) mapema jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi na kuangalia utendaji wa kazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati...
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimueleza Dkt. Ally Yahaya Simba (Kushoto) umuhimu wa kuendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano,alipomtembelea leo...
11 years ago
Michuzi24 Feb
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo apokea zawadi toka Kamati ya vibali vya filamu.