Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA SHIRIKA LA NYUMBA UGANDA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NHC TANZANIA


Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC) ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Parity Twinomujuni (aliyeketi mbele ya logo ya NHC) ukijadiliana masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya nyumba nchini na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa la Tanzania, Nehemia Kyando Mchechu. Ujumbe huo umekuwapo katika ziara ya siku mbili ya mafunzo nchini kujifunza namna utendaji wa Shirika la Tanzania unavyofanyika ili waweze kupata njia za kuweza kuboresha Shirika zaidi Shirika la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani

New Picture (4) Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme.New Picture (5) Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama nafuu.New Picture (6)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na...

 

11 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Watumishi Housing wafanya ziara ya Mafunzo nchini Malaysia

Katibu Mkuu wa Hazina anayeshughulikia mikopo ya nyumba kwa watumishi wa umma nchini Malaysia wakibadikishana uzoefu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Watumishi Housing na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bwana Adam Mayingu, Afisa Mtendaji Mkuu wa wa TMRC na Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Dr. Fred Msemwa wakati ujumbe wa Watumishi Housing ulipokwenda kujifunza juu ya namna Serikali ya Malaysia inavyoshughulikia suala la nyumba kwa watumishi wa umma wiki iliyopita.

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC MIKOANI‏

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme. Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NYUMBA TANZANIA (NHC) LAKARABATI SHULE YA HASSANGA JIJINI MBEYA

 Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas  Kandoro akikata utepe kuzindua ukarabati wa Madarasa manne na Jengo moja la Utawala katika Shule ya Msingi Hasanga uliofanyika leo Uyole Mbeya.Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas  Kandoro, viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania (NHC), Viongozi wengine wa Serikali na Walimu wa Shule ya Msingi ya Hasanga wakifurahia Baada ya Kuzindua Rasmi ukarabati wa ujenzi huo.Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akizungumza na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe

k1

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.

Watu wanaohitaji kununua...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi zaVictoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara

1(16)

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.

2

Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania, Chriss Lenana akifafanua Jambo...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo hapo jana. KIVULINI ni shirika lisolo la kiserikali linalofanya shughuli za kupinga na kutetea Haki za Wanawake na Wasichana katika mikoa yote ya kanda ya ziwa pamoja na mkoa wa Singida tangu mwaka 1999. Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani