Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA TPDC WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANI LONDON

 Mheshimiwa Naibu Balozi wa Tanzania, London, Mhe. Msafiri Marwa, akizungumza machache kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), Bwana Michael P. Mwanda, kuzungumza na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi huo. Mwenyekiti huyo wa TPDC, alipata fursa ya kutembelea Ofisi za Ubalozi mara baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Baraza la utetezi, ukuzaji na uendelezaji wa shughuli za kiuchumi (Global Local Content Council), kutokana na ugunduzi wa rasilimali za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON

Diamond Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake walipotembelea Ubalozi huo mjini London.

 

10 years ago

Vijimambo

AWADH ZUBERI NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni  ndugu Paul Mwafongo (Afisa Ubalozi uchumi),Bwn. Joseph Mnzanilla ,Mh.Bbalozi Mulamula,Bwn. Awadh Zuberi,Shemuni Halahala pamoja na ndugu Majid Zuberi wakiwa katika picha ya pamoja.Mkurugenzi wa Urban and Rular  Engineering wa kwanza kulia ndugu Awadh  Zuberi na msaidizi wake Shemuni Halahala wakiwasili  Tanzania house...

 

11 years ago

Dewji Blog

Prof Sospeter Muhongo na ujumbe wake watembelea ubalozi wa Tanzania, Washington, DC

IMG_0631

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka siku ya Jumatatu June 9, 2014 Waziri wa Nishati na Madini na ujumbe wake walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo mtaa wa 22, jijini Washington, DC.

IMG_0642

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof...

 

11 years ago

Michuzi

PROF SOSPETER MUHONGO NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGON, DC

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka siku ya Jumatatu June 9, 2014 Waziri wa Nishati na Madini na ujumbe wake walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo mtaa wa 22, jijini Washington, DC. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Spika wa Bunge na Ujumbe wake watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania,Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa ameambatana na waheshimiwa   Wabunge Saleh Ahmed Pamba, (Pangani),Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima (wa tatu kulia) pamoja na maafisa wa Ubalozi huo wakati walipotembelea Ubalozini hapo wakiwa kwenye ziara ya kikazi nchini Malaysia.

 

11 years ago

Michuzi

ujumbe wa ubalozi mdogo wa malawi Dubai watembelea ubalozi mdogo wa tanzania Dubai

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania,Dubai leo AMEKUTANA NA MHESHIMIWA GELINA, BALOZI MDOGO WA MALAWI, DUBAI NA UJUMBE WAKE KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAWI. Mheshimiwa Omar Mjenga  akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kulia kwake ni Mheshimiwa Bi Gelina Balozi Mdogo wa Malawi. Na kulia kwa Mheshimiwa Gelina ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (DAP) kutoka wizara ya mambo ya nje ya Malawi. Kushoto kabisa mwa picha ni Mhasibu Mkuu wa wizara hiyo na kulia...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE NA MWANA FA WATEMBELEA UBALOZI WETU MAREKANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini Washington DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya matembezi yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini...

 

11 years ago

Michuzi

HARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Harvard Club Of Washington, Bi. Caren A. Pauley akiutambulisha umoja wa wanafunzi waliowahi soma Chuo Kikuu cha Harvard waishio Washinton Metro Area kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula siku ya Jumatano July 2, 2014 umoja huo ulipotembelea Ubalozi wa Tanzania kwa ajili ya kukutana na jumuiya mbalimbali za Kitanzania na Taasisi zinazoshughulika na maswala ya Tanzania na kuweza kuongea pamoja kufahamiana na kubadilishana mawazo.Afisa Immaculata...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGON, DC‏

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka siku ya Jumatatu June 9, 2014 Waziri wa Nishati na Madini na ujumbe wake walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo mtaa wa 22, jijini Washington, DC. Balozi wa Tanzania nchini… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani