WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGON, DC
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka siku ya Jumatatu June 9, 2014 Waziri wa Nishati na Madini na ujumbe wake walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo mtaa wa 22, jijini Washington, DC. Balozi wa Tanzania nchini… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPROF SOSPETER MUHONGO NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGON, DC
10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
10 years ago
GPLUNTY EZEKIEL, CASSIM MGANGA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK
11 years ago
GPLWAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK BHARGAVA AKIWEMO MR PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE
10 years ago
MichuziMAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...
10 years ago
MichuziUJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI
Mkuu wa Biashara...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10