Ukatili wazi wazi CAR
Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Waislamu wengi wanatoroka makao yao kutokana na hofu ya vita dhidi yao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani. Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Q5QNsAw9eJI/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Siri za wazi ni utupu?
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Acheni ubozi wa kura za wazi
KELELE za kura ya siri au ya wazi zilizofanywa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kwa wiki nzima mjini Dodoma ni kielelezo cha ubozi. Kura ni haki ya mtu....
9 years ago
Habarileo05 Sep
JK: Kuweni wazi na fedha za wafadhili
RAIS Jakaya Kikwete amezitaka asasi za kiraia kuweka wazi fedha wanazozipata kutoka kwa wafadhili na namna wanavyozitumia, na wanapotakiwa na Serikali kutoa taarifa hizo wasione kama wanaingiliwa utendaji wao.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Guardiola kuweka wazi hatima
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
NGO’s yaendesha mahakama ya wazi
Jenerali Ulimwengu ambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam pamoja na Forum CC.
Na Mwandishi wetu
MTANDAO wa Asasi zisizo za Kiserikali zinazojishughulisha na masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi (ForumCC) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Oxfam, zimeendesha mahakama ya wazi kwa lengo la kufikisha ujumbe na kuonyesha tatizo hilo lilivyo...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kura ya wazi, siri ruksa
UONGOZI wa Bunge Maalumu la Katiba umekubali kuondoa mapendekezo mapya ya marekebisho katika baadhi ya kanuni na badala yake umependekeza kutumika kwa kura za aina zote mbili za wazi au...
11 years ago
Habarileo11 Mar
Kura ya siri, wazi kiporo
BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya.