Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Acheni ubozi wa kura za wazi

KELELE za kura ya siri au ya wazi zilizofanywa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kwa wiki nzima mjini Dodoma ni kielelezo cha ubozi. Kura ni haki ya mtu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

 

11 years ago

Habarileo

Kura za siri,wazi kiporo

BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya. Kura inayobishaniwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ni kama iwe ya siri au wazi, jambo lililogawa Bunge hilo katika makundi mawili, yanayotofautiana kuhusu namna gani uamuzi ufanyike ndani ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kiporo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) kabla ya kuanza kwa semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Akitanda atetea kura ya wazi

Mjumbe wa Bunge la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha CCK, Costantine Akitanda, ameunga mkono kura ya wazi kwa madai kuwa itawawezesha wananchi kutambua msimamo wa viongozi wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya wazi, siri ruksa

UONGOZI wa Bunge Maalumu la Katiba umekubali kuondoa mapendekezo mapya ya marekebisho katika baadhi ya kanuni na badala yake umependekeza kutumika kwa kura za aina zote mbili za wazi au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya siri, wazi bado moto

MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kutumika pamoja

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limemaliza mvutano wa Kanuni, hasa kuhusu kura ya wazi au ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha ibara na sura za rasimu ya Katiba, kwa kuamua kura zote zitumike kwa kadri mjumbe mmoja mmoja atakavyoona inafaa. Uamuzi huo uliamuliwa kwa kupiga kura ya wazi na siri na matokeo yalikuwa:

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe alazimishwa kupiga kura ya wazi

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumwandama kwa kejeli Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, mmoja wa makamishna wa tume hiyo naye ameonja ‘joto ya jiwe’...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto aungana na CCM kutaka kura ya wazi

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameunga mkono msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kura ya wazi katika kufanya uamuzi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani