Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa muwe zaidi ya kijiwe cha matumaini

Siku hizi Ukawa ni habari kubwa katika jamii yetu. Ni jina ambalo siyo geni tena katika masikio ya walio wengi kwani limekuwa likitajwa asubuhi, mchana na hata usiku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chaunda UKAWA na Akawo chalaani tuzo

BAADA ya matumaini ya kupatikana Katiba mpya kupotea kutokana na woga na ujinga wa baadhi ya wadau wasiotaka kuutema ulaji, Kijiwe kimeamua kuingilia kati kukwamua mchakato tena kwa bei nafuu na...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

KIJIWE CHA UGHAIBUNI‏

Kijiwe No. 45 from Luke Joe on Vimeo.

 

11 years ago

Michuzi

ankal ndani ya kijiwe cha ughaibuni

Ankal na Ze Fulanazzzz yake akiwa na wadau wakuu wa KIJIWE CHA UGHAIBUNI alipotembelea Maryland, Marekani hivi karibuni, na kutia ubani katika kipindi hicho ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Kulia kwake ni Producer DJ Luke Joe, akifuatiwa na nyota wa mchezo Ben Mwaipaja na Mwanangu Yasin 'Mtoto wa Salamander' bila kumsahau mwenyekiti wa kijiwe. Nyuma ya kochi ni wadau ambao bila wao kipindi hicho kisingekuwa hai. Hii ni baada ya kurekodi kipindi ambacho kitaruka hivi...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

KIJIWE CHA UGHAIBUNI - uraia pacha

Kijiwe No. 55 from Luke Joe on Vimeo.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani