Ukawa wamwonya JK
Na Fredy Azzah, Zanzibar
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamemuonya Rais Jakaya Kikwete, wakisema ndiye mwenye dhamana ya kulinda usalama wa wananchi na akiendelea kutumia vibaya vyombo vya dola, Novemba mwaka huu watamburuza Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) iliyopo The Hague, Uholanzi.
Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Zanzibar na viongozi wa Ukawa, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kibanda Maiti wenye lengo la kutafuta wadhamini kwa mgombea urais wa umoja huo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
JUKATA wamwonya Sitta asiongeze muda wa Bunge
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuzingatia muda wa kumaliza shughuli za Bunge hilo. Kauli ya Jukata imekuja baada ya kuwepo kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s72-c/_MG_6218.jpg)
UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s640/_MG_6218.jpg)
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...