Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukuaji wa tehama wakwamishwa na bajeti za kusomeshea

SEKTA ya mawasiliano, sayansi na teknolojia imekuwa ikishindwa kupata wahitimu wengi na mahiri kunatokana na uhaba wa fedha za kuwasomesha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Ykileo

UKUAJI WA MATUMIZI YA TEHAMA WAONGEZA UHALIFU MTANDAO

Mataifa mengi yameendelea kuwekeza katika sekta ya TEHAMA ili kurahisisha huduma mbali mbali kwa jamii za mataifa husika – Ikiwa ni pamoja na mawasiliano, huduma za Afya, kifedha na hata usafirishaji ambapo TEHAMA imekua ikitumika kwa kiwango cha juu zaidi tofauti na miaka iliyopita.


---------------------

UPDATE:Apple has addressed a glitch that caused some iPhones to unexpectedly start auto-correcting the letter "i" to a capital "A" and a question mark.

--------------------


Kuwepo na Kinacho...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukuaji wa ujauzito

BAADA ya maelezo marefu kuhusiana na jinsi ujauzito unavyotungwa, tukihitimisha na baadhi ya miiko ambayo inatajwa na kuhusishwa sana na suala hilo, sasa tuanze kuangalia jinsi kiumbe kilichomo ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo yanayochangia maendeleo ya ukuaji

Ndugu wasomaji wa kona hii asanteni kwa maswali yenu mazuri ya wiki iliyopita ambayo yananipa nafasi ya kujua kiu yenu.

 

9 years ago

Habarileo

Kipaumbele ni ukuaji uchumi wa wananchi

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli amefungua Bunge la 11 na kuwataka watendaji kote nchini kuhakikisha wanashiriki katika vita ya kuondoa umasikini, ili ukuaji wa uchumi wa nchi uendane na ukuaji wa uchumi wa watu na kusisitiza kuongeza ajira kupitia viwanda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPSC Tanga chachu ya ukuaji wa uchumi

“MAFUNZO haya ni muhimu sana kwa viongozi wetu katika kuhakikisha wanasimamia fedha za walipa kodi ipasavyo.” Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi...

 

10 years ago

GPL

WACHINA WAVUTIWA NA KASI YA UKUAJI WA UCHUMI

Naibu Katibu Mtendaji (Uchumi Jumla), Prof. Longinus Rutasitara (Wapili kushoto) akizungumza na Ugeni kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China wakati walipofanya ziara nchini. Kushoto ni Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe. Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa ziara hiyo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani