Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukumbi bunge la Katiba sasa wakamilika

Matengenezo yaliyotarajiwa ndani ya ukumbi wa bunge la Muungano ambao ndio utakaotumika kwa bunge la Katiba, yamekamilika na sasa ukumbi huo uko tayari kwa kazi inayotarajia kuanza Februari 18 mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

Ufungaji wa viti kwa matumizi ya Bunge la Katiba wakamilika

Mhe Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa ufungaji viti.Vito hivyo ni mahsusi kwa matumizi ya Bunge la Katiba. Viti vipya tayari kwa matumizi ya Bunge Maalum la Katiba. Dr David Zachariah wa Computer Consult akimtambulisha mtaalamu wake wa mradi wa Viti,Bw.Sidney Robson kutoka Afrika Kusini.Mradi huo umekamilika tayari kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Lukuvi aridhika Ukumbi wa Bunge la Katiba

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi jana alitembelea ukumbi wa Bunge maalum la Katiba, linalotarajia kuanza Februari 18, mwaka huu na kujiridhisha na marekebisho ambayo yamefanyika.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba,Mh. Pandu Kificho akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge hilo,kinachoendelea leo kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.  Wajumbe wa Bunge la Katiba,Mh. Tundu Lissu na Mh. Jussa wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha Bunge la Katiba kinachoendelea leo Mjini Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Edward Lowassa akifatilia kwa makini mjadala wa Bunge hilo,mjini Dodoma leo.  Mh. Anne Makinda akichangia Mapendekezo ya Rasimu ya Kanuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]

Mzee Ngombale-Mwiru amewatahadharisha wajumbe wasivuke mipaka, akiwaeleza hawakwenda Dodoma kuipiga vijembe timu ya Warioba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Bunge la #Katiba tayari, kazi sasa kuanza rasmi? [VIDEO]

Tazama jinsi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba walivyomchagua Spika wa Zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wao wa Kudumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani