Umaskini wakosesha pato la taifa
THELUTHI moja ya Watanzania wanashindwa kuchangia katika pato la taifa kutokana na kukabiliwa na umaskini, hivyo kukosa hata mahitaji yao ya muhimu ya kila siku. Hayo yalibainishwa mjini hapa juzi ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Pato la taifa, umaskini vyaongezeka
LICHA ya kuwepo kwa malalamiko ya umaskini wa kipato kwa wananchi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema pato la taifa limeongezeka kwa pointi tatu. Pato hilo limeongezeka katika robo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s72-c/Takwimu%2B-1.jpg)
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-7kzKZ5TuwqI/VJQ3nweXiHI/AAAAAAAG4dA/dVoJ0Nlel24/s1600/Takwimu%2B-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IGS3kQwrhrY/VJQ3n6cvYlI/AAAAAAAG4c8/QLK7bFGfcYo/s1600/Takwimu%2Bna%2B2.jpg)
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi19 Dec
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed387.jpg)
![unnamed1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed1149.jpg)
![unnamed2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed2115.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013.
Akizindua...
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9
9 years ago
VijimamboOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9
Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
9 years ago
StarTV12 Oct
Pato la Taifa la ongezeka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS imesema thamani ya pato la taifa kwa mwaka 2015 inakadiriwa kuwa Shilingi Bilioni 89 na idadi ya watu kuwa zaidi ya milioni 48 wastani wa pato la mwananchi likitazamiwa kuwa zaidi ya asilingi milioni moja.
NBS imesema thamani hiyo itaweza kufikiwa iwapo hakutakuwa na misukosuko ya kiuchumi katika sekta mbalimbali za maendeleo.
Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu, katika kipindi cha January hadi Juni 2015 pato la taifa ni trililion 45.5 ikilinganishwa na...