Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeiona video mpya ya R.Kelly ‘Happy Birthday? Mashabiki wadai kapotea njia (18+)

Miaka 10 iliyopita muziki wa R&B ulikuwa umetawaliwa na Robert Kelly. Nyimbo zake zilikuwa zinaweza kukufanya ulie, upata matumaini au ufurahi kutokana na sauti nzuri na ujumbe wake mahsusi. Miaka ya hivi karibuni mfalme huyo hawiki tena. Kwa kuona kuwa muziki wa sasa umebadilika, naye ameanza kutengeneza muziki ambao kwa imani za wengi ndio unaopendwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Happy birthday Mr. Bean !! Leo ni siku yake, enjoy na vioja vyake kwenye video 3..

Jina lake kamili ni Rowan Atkinson, raia wa Uingereza ambaye ni staa wa movie na comedy pia duniani !! Unajua kitu kizuri kwa Mr. Bean anafanya comedy ambayo hata kama huelewi lugha yake, vitendo vyake tuu lazima akuache hoi kwa kicheko. Leo Rowan Atkinson a.k.a Mr. Bean anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 60… jamaa […]

The post Happy birthday Mr. Bean !! Leo ni siku yake, enjoy na vioja vyake kwenye video 3.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga

future na Chyna

Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.

future na Chyna

Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.

Blac-Chyna-Future-tattoo

Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY

Mohammed Matope from MarylandHappy Birthday to the world’s best husband. You are my anchor and my shield and I am blessed to be your wife. I pray that God will grant you a long life and happiness so that we will be together and celebrate many more birthdays to come. I love you so much.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MO

MODEWJI BLOG TEAM : Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!
And below is a small gift from us!
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY

Gloria Sakwa wa VA.Vijimambo Team Wish You Best wishes on your birthday and throughout the coming year.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Michelle Muhoka kutoka Maryland, USASisi Baba, Kaka, Wadogo wako, Mashangazi. Wajomba, ndugu na jamaa tunakutakia Kila la kheri katika maisha yako wote kwa pamoja tunasema Happy Birthday to you

 

9 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY FATMA

Today is a very special day, because it is the day when I first saw my angel. Happy Birthday to my lovely daughter Fatma! No matter how old you are, to me you will always be my little girl. You are the most beautiful gift anyone has ever been gifted with. ....... I enjoy every moment we spend together. Thank you for all the joy you have brought to me and your daddy. Enjoy your day. I love you to the moon and back.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani