Happy birthday Mr. Bean !! Leo ni siku yake, enjoy na vioja vyake kwenye video 3..
Jina lake kamili ni Rowan Atkinson, raia wa Uingereza ambaye ni staa wa movie na comedy pia duniani !! Unajua kitu kizuri kwa Mr. Bean anafanya comedy ambayo hata kama huelewi lugha yake, vitendo vyake tuu lazima akuache hoi kwa kicheko. Leo Rowan Atkinson a.k.a Mr. Bean anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 60… jamaa […]
The post Happy birthday Mr. Bean !! Leo ni siku yake, enjoy na vioja vyake kwenye video 3.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Badi hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu.
10 years ago
GPL25 Jan
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
9 years ago
Dewji Blog23 Aug
Leo ni ‘Happy Birthday’ ya Blogger Mc Baraka wa Bukoba wadau Blog
Jumapili ya leo ya Agosti 23, ni siku nzuru na ya baraka tele, kwa mwanablog, Mc Baraka anayetimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
“Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo. Namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo..
Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na members wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari...
10 years ago
Bongo526 Jan
Umeiona video mpya ya R.Kelly ‘Happy Birthday? Mashabiki wadai kapotea njia (18+)
11 years ago
GPL06 May