Leo ni ‘Happy Birthday’ ya Blogger Mc Baraka wa Bukoba wadau Blog
Jumapili ya leo ya Agosti 23, ni siku nzuru na ya baraka tele, kwa mwanablog, Mc Baraka anayetimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
“Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo. Namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo..
Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na members wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA WA BUKOBA WADAU BLOG

10 years ago
Vijimambo
HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA

10 years ago
MichuziHAPPY BIRTHDAY BLOGGER FAUSTINE RUTA
Blogger mpiganaji wa Bukoba Faustine Ruta anapenda kumshukuru Mungu kwa kumfikisha leo hii Sept. 24, siku yake ya kuzaliwa. Anasema hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Anaishukukuru familia yake, ndugu, jamaa, marafiki na majirani kwa kumsindikiza vyema katika safari yake hii ya maisha."Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishuhudia siku hii. Ni neema kubwa. Hakika napaswa kutambua kwamba kila siku katika maisha yangu ni dhamana ambayo natakiwa niitumie kwa mambo mema", Faustine amesema...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Happy Birthday Blogger Cathbert Angelo Kajuna

10 years ago
Vijimambo
HAPPY BIRTHDAY MAMA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU

Kipekee anamshukuru Mungu kwa kumjalia umri huo alionao hivi sasa. Anawashukuru wote ambao wamechangia yeye kuishi vyema. Anaishukuru sana Familia yake yote kwa umoja na upendo walio nao jambo mabalo anasema linamfanya aishi kwa furaha na amani.
...
11 years ago
Dewji Blog23 Aug
Happy Birthday Mwanalibeneke MC Baraka
Namshukru mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasiri wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.
Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.
HAPPY BIRTHDAY TO ME!
MOblog Team: Inakutakia kila la kheri katika kulisongesha “Libeneke” Mungu akujaalie afya njema na...
11 years ago
MichuziHAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO
TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Blog hii ya Mbeya yetu na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL) ambao pia ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania, Tone Radio-Tz , This Day Magazine, Stay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz , Matukio na...
11 years ago
GPLHAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO
11 years ago
GPL