Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPY BIRTHDAY BLOGGER FAUSTINE RUTA



Blogger mpiganaji wa Bukoba Faustine Ruta anapenda kumshukuru Mungu kwa kumfikisha leo hii Sept. 24, siku yake ya kuzaliwa. Anasema hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Anaishukukuru familia yake, ndugu,  jamaa, marafiki na majirani kwa kumsindikiza vyema katika safari yake hii ya maisha."Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishuhudia siku hii. Ni neema kubwa. Hakika napaswa kutambua kwamba kila siku katika maisha yangu ni dhamana ambayo natakiwa niitumie kwa mambo mema", Faustine amesema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA

Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu Mwanalibeneke Mc Baraka,Namshukru sana mwenyezi mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo,namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale,hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo .Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na member wa TBN members na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo Inshaalah namuomba Mwenyezi mungu (Omkama Katonda) aniongezee uhai na uzima ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Happy Birthday Blogger Cathbert Angelo Kajuna

Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha leo Aprili 10 siku yangu ya kuzaliwa… Hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Pia napenda kuishukukuru familia yangu, ndugu jamaa na marafiki kwa kuwa pamoja nami mpaka leo. Asanteni sana.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MAMA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU

TAREHE ya leo ni ndio aliyo zaliwa Mama mzazi wa Blogger na Mpigapicha nguli Tanzania, Mroki Mroki, Bi. Mary O.Nathan  (pichani) wa Kinyenze, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye leo anatimiza miaka 63 tangu kuzaliwa kwake tarehe kama ya leo. 

Kipekee anamshukuru Mungu kwa kumjalia umri huo alionao hivi sasa. Anawashukuru wote ambao wamechangia yeye kuishi vyema. Anaishukuru sana Familia yake yote kwa umoja na upendo walio nao jambo mabalo anasema linamfanya aishi kwa furaha na amani. 
...

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA WA BUKOBA WADAU BLOG

Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu Mwanalibeneke Mc Baraka,Namshukru sana mwenyezi mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo. Namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale,hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo .Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na member wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo Inshaalah namuomba Mwenyezi mungu (Omkama Katonda) aniongezee uhai na uzima HAPPY...

 

9 years ago

Dewji Blog

Leo ni ‘Happy Birthday’ ya Blogger Mc Baraka wa Bukoba wadau Blog

MC baraka (BUKOBAWADAUJumapili ya leo  ya Agosti 23, ni siku nzuru na ya baraka tele, kwa  mwanablog, Mc Baraka anayetimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.

“Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo. Namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo..

Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na members wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE FAUSTINE RUTA


Leo tarehe 24 mwezi wa tisa ni siku ya kuzaliwa kwa mpiganaji mwanalibeneke na mdau Faustine Ruta wa bukobasports.com.
"Namushukuru Mungu kwa Zawadi ya Uhai, afya njema na kunijalia Mpaka sasa hapa nilipo.Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana kila siku katika ujenzi wa Taifa katika kuhabarisha. 
Pia natoa shukrani kubwa kwa wadau, Wanalibeneke wenzangu ndugu na marafiki wanao endelea kuniunga mkono." Asanteni sana !

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Michelle Muhoka kutoka Maryland, USASisi Baba, Kaka, Wadogo wako, Mashangazi. Wajomba, ndugu na jamaa tunakutakia Kila la kheri katika maisha yako wote kwa pamoja tunasema Happy Birthday to you

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MO

MODEWJI BLOG TEAM : Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!
And below is a small gift from us!
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY

Mohammed Matope from MarylandHappy Birthday to the world’s best husband. You are my anchor and my shield and I am blessed to be your wife. I pray that God will grant you a long life and happiness so that we will be together and celebrate many more birthdays to come. I love you so much.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani