Happy Birthday Mwanalibeneke MC Baraka
Namshukru mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasiri wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.
Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.
HAPPY BIRTHDAY TO ME!
MOblog Team: Inakutakia kila la kheri katika kulisongesha “Libeneke” Mungu akujaalie afya njema na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE
Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .
Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na Mwanaharakati Mzalendo...
10 years ago
GPLHAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-E_X9njdfxws/VdjEz0cXrRI/AAAAAAABuAc/4Mn0LbD-QlM/s72-c/MC%2Bbaraka%2B%2528BUKOBAWADAU.jpg)
HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-E_X9njdfxws/VdjEz0cXrRI/AAAAAAABuAc/4Mn0LbD-QlM/s740/MC%2Bbaraka%2B%2528BUKOBAWADAU.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E_X9njdfxws/VdjEz0cXrRI/AAAAAAABuAc/4Mn0LbD-QlM/s72-c/MC%2Bbaraka%2B%2528BUKOBAWADAU.jpg)
HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA WA BUKOBA WADAU BLOG
![](http://1.bp.blogspot.com/-E_X9njdfxws/VdjEz0cXrRI/AAAAAAABuAc/4Mn0LbD-QlM/s740/MC%2Bbaraka%2B%2528BUKOBAWADAU.jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Aug
Leo ni ‘Happy Birthday’ ya Blogger Mc Baraka wa Bukoba wadau Blog
Jumapili ya leo ya Agosti 23, ni siku nzuru na ya baraka tele, kwa mwanablog, Mc Baraka anayetimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
“Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo. Namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo..
Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na members wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7W7X19GBwF4/U_gshtgrdUI/AAAAAAAGBhE/yFkgFYVNC1k/s72-c/10371898_767465896644945_6491477324471418454_n.jpg)
hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-7W7X19GBwF4/U_gshtgrdUI/AAAAAAAGBhE/yFkgFYVNC1k/s1600/10371898_767465896644945_6491477324471418454_n.jpg)
Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Z7CBYu-mVyc/U1iYvNQa4kI/AAAAAAAFcms/sdnwsTk0YHo/s72-c/unnamed+(88).jpg)
happy besdei ya kuzaliwa mwanalibeneke edwin moshi leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z7CBYu-mVyc/U1iYvNQa4kI/AAAAAAAFcms/sdnwsTk0YHo/s1600/unnamed+(88).jpg)
Wadau, Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema. Nawashukuru wanalibeneke wenzangu wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwa kuniunga mkono katika siku hii muhimu kwangu, Asanteni Sana Edwin Moshi, C.E.O Eddy Blog
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HAPPY BIRTHDAY
10 years ago
Vijimambo08 May
HAPPY BIRTHDAY MO
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F05%2FDSC01228-Edit.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
And below is a small gift from us!
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F05%2FIMG_9643.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji