Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa mafunzo kwa wajasiriamali

Mafunzo ni kitu muhimu sana katika kila shughuli aifanyayo mtu. Mafunzo yanaweza kufanyika kabla mhusika hajapewa au hajajipa majukumu anayotakiwa kufanya. Pia, mafunzo huhitajika wakati mtu husika anapokuwa katika shughuli fulani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mafunzo kwa wajasiriamali wa sabuni yasitishwa

WAKALA wa Mkemia Mkuu wa Serikali imezuia kwa muda mafunzo yaliyokuwa yakitolea na makampuni mbalimbali kwa wajasiriamali wa kutengeneza sabuni nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

EOTF kutoa Mafunzo kwa Wanawake Wajasiriamali bure

DSC_4478

Mkurugenzi Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi, ni mmoja wa watoa mada katika semina hiyo.

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha Semina ya mafunzo ya siku 3 kwa Wanawake Wajasiriamali itakayofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2014, kuanzia saa 2 asubuhi katika ukumbi wa JKT Mgulani, Temeke,jijini Dar es salaam.   Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kupata mitaji kwa ajili ya biashara, masoko pamoja na stadi za ujasiriamari.   Katika...

 

11 years ago

Michuzi

EOTF KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI 23-25 JUNI 2014

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha mafunzo ya siku tatu -Jumatatu 23 -Jumatano 25 Juni 2014, katika ukumbi wa Mabati Jeshi la Kujenga Taifa Mgulani, Temeke, jijini Dar es salaam.
Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha na kuwawezesha wanawake wajasiliamali jinsi ya kupata mitaji, masoko na kufanya biashara endelevu.
Mada kuu zitahusu: Uwekezaji na Ukuazaji mtaji, Mtaji sio Lazima Uwe Fedha; Utunzaji wa Kumbukumbu za Biashara yako, Kuwaunganisha Wazalishaji...

 

10 years ago

Vijimambo

CBE YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAJASIRIAMALI WA JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Mfanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bi. Mariam Tambwe akimkaribisha mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Chuo hicho kwa ajili ya kufanya ufunguzi rasmi wa mafun z ohayo na kutowapa wajasiriamali maneno ya busara katika mafunzo ya siku mbili (24-25 Oktoba, 2014) chuoni hapo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) cha jijini Dar es Salaam, Profesa Emmanuel Mjema akifungua rasmi mafunzo...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KATIKA SEKTA RASMI

1Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi

1

Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI NA WANACHAMA WA NMB BUSINESS CLUBS JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa NMB Business Club Kanda ya Temeke Bw. Ezekiel Matimo Gutti akiongea  machache  kuhusu  NMB Business Club Wilaya  ya Temeke  tangu kuanzishwa  kwake.

 Mtoa mada kuhusu kodi kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ Bw. Hirji Abdallah akielezea kuhusu ulipaji wa kodi wakati wa semina ya wajasiriamali iliyondaliwa na benki ya NMB .Semina hiyo ulihudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa NMB Business Club kutoka Wilaya ya Kinondoni, Ilala na Temeke hivi karibuni jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa mafunzo ufundi- 4

Leo nahitimisha mfululizo wa makala kuhusu umuhimu wa mafunzo ya ufundi nchini. Ingawa utafiti wangu ulibaini kuwa wasailiwa wengi walithamini jitihada za Serikali katika kuboresha elimu na mafunzo ya ufundi nchini, bado kuna mengi ambayo Serikali kama mdau mkuu katika elimu na mafunzo ya ufundi inatakiwa ifanye.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa mafunzo ya ufundi Tanzania-3

Umuhimu wa elimu na mafunzo ya ufundi unaonekana kutokana na ukweli kwamba rasilimali watu ni suala la muhimu katika mchakato wa maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani