EOTF KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI 23-25 JUNI 2014
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha mafunzo ya siku tatu -Jumatatu 23 -Jumatano 25 Juni 2014, katika ukumbi wa Mabati Jeshi la Kujenga Taifa Mgulani, Temeke, jijini Dar es salaam.
Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha na kuwawezesha wanawake wajasiliamali jinsi ya kupata mitaji, masoko na kufanya biashara endelevu.
Mada kuu zitahusu: Uwekezaji na Ukuazaji mtaji, Mtaji sio Lazima Uwe Fedha; Utunzaji wa Kumbukumbu za Biashara yako, Kuwaunganisha Wazalishaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
EOTF kutoa Mafunzo kwa Wanawake Wajasiriamali bure
Mkurugenzi Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi, ni mmoja wa watoa mada katika semina hiyo.
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha Semina ya mafunzo ya siku 3 kwa Wanawake Wajasiriamali itakayofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2014, kuanzia saa 2 asubuhi katika ukumbi wa JKT Mgulani, Temeke,jijini Dar es salaam. Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kupata mitaji kwa ajili ya biashara, masoko pamoja na stadi za ujasiriamari. Katika...
9 years ago
Michuzi17 Aug
WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO
![](https://mmi222.whatsapp.net/d/9WJgOE-N7YHK923-FAHKMFXPPvQ/Aiig3dhTYoKu8N-5HLx_onziXP4sVJ0cEaV3r3I1aG1B.jpg)
11 years ago
MichuziTAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jt3wZftXGB0/U4Iqj-ML2LI/AAAAAAAA_Zs/dYCeLXPUnzk/s1600/1.jpg)
9 years ago
MichuziTASWIRA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO
10 years ago
Michuzi17 Feb
NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KATIKA SEKTA RASMI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/157.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...
10 years ago
Habarileo31 Dec
Veta kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vikundi
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kuingia katika makubaliano na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kwa ajili ya kutoa elimu ya mafunzo kwa vikundi vya wajasiriamali wadogo ili kujenga uwezo wa kuendesha shughuli zao kwa lengo la kuwaletea tija.
9 years ago
MichuziBenki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ky0niSST31c/VP7D0VdeCaI/AAAAAAABnu4/VhnXncfHoEo/s72-c/wat1.jpg)
Wataalamu wa Mafunzo ya Ujasiriamali Wawapatia Mafunzo Wanakijiji wa Kitogani Zanzibar.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ky0niSST31c/VP7D0VdeCaI/AAAAAAABnu4/VhnXncfHoEo/s640/wat1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xYKgs_6dvIs/VP7D1OLW5aI/AAAAAAABnvA/8JKL_8rMZxM/s640/wat2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HjcMnEdfVqw/VP7D5xUOQ4I/AAAAAAABnvI/WnNrvKW-O6Y/s640/wat3.jpg)