Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Veta kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vikundi

Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Amir Nondo HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kuingia katika makubaliano na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kwa ajili ya kutoa elimu ya mafunzo kwa vikundi vya wajasiriamali wadogo ili kujenga uwezo wa kuendesha shughuli zao kwa lengo la kuwaletea tija.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ataka elimu ya ujasiriamali wa vikundi

SERIKALI imetakiwa kuvipa  kipaumbele  vikundi vya ujasiriamali ikiwa na pamoja na kuwapatia elimu ya mafunzo mara kwa mara.  Ushauri huo ulitolewa na Mwalimu wa Vikoba, Rukia Mwinyi wakati wa mafunzo ya wajasiliamali...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakazi wa Kiromo waitaka Tasafa kutoa elimu ya ujasiriamali

Wananchi wa Kijiji cha Buma Kata ya Kiromo wilayani hapa, wameutaka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kuangalia uwezekano wa kutoa elimu ya ujasiriliamali ili waweze kuwa na miradi endelevu badala ya kusubiri kuwezeshwa na wafadhili.

 

10 years ago

Mwananchi

UJASIRIAMALI: Mitaji midogo kikwazo kwa vikundi

>Ukosefu wa mbinu za kuboresha bidhaa, mtaji mdogo, matatizo ya afya na ukosefu wa mbinu za kuendeleza mikopo midogo ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake waliojiajiri katika shughuli za usindikaji vyakula na utengenezaji wa bidhaa za mikono.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana. Koka...

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya uajasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira. (Na Mpiga Picha Wetu)  Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato...

 

11 years ago

Mwananchi

Waungana kuendesha elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi

Tatizo la ajira ni kubwa hapa nchini, huku wengi wa wahitimu wakionekana kuendelea kuwa mizigo kwa familia zao kwa maana kwamba badala ya kuondoa kero za kiuchumi kwa kupata ajira, wameendelea kuwa tegemezi kwa kukosa kazi za kufanya.

 

11 years ago

GPL

TCME WASHIRIKIANA NA VETA KATIKA KUTOA MAFUNZO YA UCHIMBAJI MADINI KWA WAZAWA‏

Mgeni Rasmi katika sherehe za mwaka za Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (Tanzania Chamber of Minerals and Energy) Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizugumza kwa niaba ya Waziri kwa wageni waalikwa na mabalozi. Mwenyekiti wa Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Joseph Kahama akizungumza wakati wa sherehe hizo jana usiku katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni...

 

11 years ago

Michuzi

EOTF KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI 23-25 JUNI 2014

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha mafunzo ya siku tatu -Jumatatu 23 -Jumatano 25 Juni 2014, katika ukumbi wa Mabati Jeshi la Kujenga Taifa Mgulani, Temeke, jijini Dar es salaam.
Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha na kuwawezesha wanawake wajasiliamali jinsi ya kupata mitaji, masoko na kufanya biashara endelevu.
Mada kuu zitahusu: Uwekezaji na Ukuazaji mtaji, Mtaji sio Lazima Uwe Fedha; Utunzaji wa Kumbukumbu za Biashara yako, Kuwaunganisha Wazalishaji...

 

9 years ago

Michuzi

DKT FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI NA KUNADI SERA ZAKE.

 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt Fenella Mukangara akiwa kwenye mazungumzo na wakazi  wa jimbo la kibamba(kwa Yusuph) wakati alipotembelea vikundi vya vicoba ili kuwaskiliza kero zao ili kujua matatizo wanayowakabili kwa ujumla. Mkazi wa kata ya Msigani(aliyesimama) akielezea matatizo yanayowakabili wakazi wa eneo ilo na kumwomba mgombea wa Jimbo ilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Fenella Mukangara kuyatafutia ufumbuzi atakapopata nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani