Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana. Koka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI NA KUNADI SERA ZAKE.

 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt Fenella Mukangara akiwa kwenye mazungumzo na wakazi  wa jimbo la kibamba(kwa Yusuph) wakati alipotembelea vikundi vya vicoba ili kuwaskiliza kero zao ili kujua matatizo wanayowakabili kwa ujumla. Mkazi wa kata ya Msigani(aliyesimama) akielezea matatizo yanayowakabili wakazi wa eneo ilo na kumwomba mgombea wa Jimbo ilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Fenella Mukangara kuyatafutia ufumbuzi atakapopata nafasi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vikundi vya ushindi ‘TeamMagufuli’ Mkoani Singida vyatakiwa kujikita kwenye ujasiriamali!

LISSU

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida Martin Lissu akizungumza kwenye hafla maalumu ya kuwapongeza wana-CCM waliojitolea bila malipo wakati wa uchaguzi mkuu, wakijulikana  kwa jina la ‘Team Magufuli ’ na kufanikiwa kutetea majimbo saba ya CCM wakati wa uchaguzi mkuu uliomalizika Oktoba 25 mwaka huu na John Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .(PICHA NA HILLARY SHOO).

Na Hillary Shoo

[SINGIDA] Vikundi  vilivyoanzishwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu kwa lengo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ataka elimu ya ujasiriamali wa vikundi

SERIKALI imetakiwa kuvipa  kipaumbele  vikundi vya ujasiriamali ikiwa na pamoja na kuwapatia elimu ya mafunzo mara kwa mara.  Ushauri huo ulitolewa na Mwalimu wa Vikoba, Rukia Mwinyi wakati wa mafunzo ya wajasiliamali...

 

10 years ago

Habarileo

Veta kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vikundi

Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Amir Nondo HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kuingia katika makubaliano na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kwa ajili ya kutoa elimu ya mafunzo kwa vikundi vya wajasiriamali wadogo ili kujenga uwezo wa kuendesha shughuli zao kwa lengo la kuwaletea tija.

 

10 years ago

Mwananchi

UJASIRIAMALI: Mitaji midogo kikwazo kwa vikundi

>Ukosefu wa mbinu za kuboresha bidhaa, mtaji mdogo, matatizo ya afya na ukosefu wa mbinu za kuendeleza mikopo midogo ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake waliojiajiri katika shughuli za usindikaji vyakula na utengenezaji wa bidhaa za mikono.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty NyahozaOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

StarTV

Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja

Polisi  nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa  vinaingilia majukumu yao.

Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.

Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...

 

9 years ago

Dewji Blog

SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao

IMG_0942

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi   cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.

IMG_0945

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku akimpa mama msaada wa shilingi 50,000 zisaidie kumnunulia Neema Jonson (29) mkazi wa kijiji cha Mgongo wilaya ya Iramba kitanda. Neema ni mlemavu wa miguu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani