Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN. TAASISI IMARA KATIKA UTATUZI WA MIGOGORO

Kutoka kushoto ni Reginald Munisi, Mwenyekiti, United Nations Association of Tazania, Mr. Alvaro Rodriguez, Mratibu Mkazi, Umoja wa Mataifa Tanzania, Balozi Dr. Agustine Mahiga, Balozi Mstaafu wa Tazania Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 50 Taasisi ya Umoja wa Matifa (UNA) pamoja na maadhimisho ya miaka 70 ya umoja wa Mataifa (UN) yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Reginald Munisi, Mwenyekiti wa UNA Tanzania akitoa maneno ya ufunguzi katika mkutano mkuu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa ni taasisi imara katika utatuzi wa migogoro

Kutoka kushoto ni Reginald Munisi, Mwenyekiti, United Nations Association of Tazania, Mr. Alvaro Rodriguez, Mratibu Mkazi, Umoja wa Mataifa Tanzania, Balozi Dk. Augustine Mahiga, Balozi Mstaafu wa Tazania Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 50 Taasisi ya Umoja wa Matifa (UNA) pamoja na maadhimisho ya miaka 70 ya umoja wa Mataifa (UN) yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Reginald Munisi, Mwenyekiti wa UNA Tanzania akitoa maneno ya ufunguzi katika mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

TUMESHERIA YAKABIDHI TAARIFA YA UTAFITI KUHUSU UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI



TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKABIDHI TAARIFA KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOSIMAMIA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania imekabidhi Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazosimammia Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi nchini kwa Waziri wa Katiba ba Sheria Dkt Balozi Augustine Mahiga.

Taarifa hiyo imekabidhiwa kufuatia Tume ya Kurekebisha Sheria kufanya utafiti baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Katiba na Sheria yakitaka kupitia Mfumo wa...

 

5 years ago

Michuzi

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM WAMFIKISHA LUKUVI SAA NNE USIKU


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020.

Sehemu ya...

 

5 years ago

Michuzi

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM WAMFIKISHA LUKUVI SAA NNE USIKU OFISINI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri 
Sehemu ya wananchi wa jiji la Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAMETAKIWA KUZIMAMA IMARA KATIKA UCHAGUZI

WANAWAKE wametakiwa kuzimama imara katika uchaguzi ili kuweza kuchukua nafasi za uongozi katika majimbo ,mikoa, wilaya na serikalini ili kufikia malengo .  Hayo yameeelezwa na Mwanaharakati wa masuala ya wanawake Zanzibar Siti Abas Ali wakati lipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko Kwerekwe Wilaya ya Magharibi.
Amesema  kuwa kuchukua  nafasi za uongozi kwa wanawake kutasaidia kuweza kujikwamua na hali ya kimaisha  pamoja kuzisaidia familia pindi zinapofikwa na matitizona kuweza...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Migogoro, falsafa katika tamthiliya ya Orodha

Katika riwaya hii tunaweza kupata mifano ifuatayo ya migogoro:

 

10 years ago

Mwananchi

‘Migogoro ya kisiasa kikwazo katika uwekezaji’

Migogoro ya kisiasa katika nchi nyingi za Afrika ni miongoni mwa sababu inayokwamisha uwekezaji kutoka nje na jitihada za kupambana na umaskini na ukuzaji wa uchumi wa mataifa hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani