Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAMUANDALIA FUMANIZI UMPENDAYE, UMEJIANDAA KIHISIA?

Ni Jumatatu nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena tujadiliane na kuelimishana mambo mbalimbali yanayotuhusu. Mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Upo kwenye uhusiano, unahisi kwamba mwenzi wako anakusaliti na kuna viashiria mbalimbali kwamba mwenzi wako anatoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNAMUANDALIA FUMANIZI UMPENDAYE, UMEJIANDAA KIHISIA? -2

Uhali gani msomaji wangu? Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na pilikapilika za kuumaliza mwaka 2014 na kuukaribisha 2015! Tuzidi kumuomba Mungu atuvushe salama na atuepushe na majanga ya aina mbalimbali yanayoweza kutokea katika muda huu mfupi uliosalia.
Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada ya kama kuna umuhimu wowote wa kumuandalia mwenzi wako fumanizi endapo ukihisi au ukigundua kuwa anakusaliti kwa kutoka nje ya...

 

11 years ago

GPL

UPWEKE, TATIZO LA KIHISIA LINALOWATESA WENGI!

KUTAMBUA umuhimu wa kujifunza ni jambo kubwa lenye thamani katika maisha ya binadamu. Anayejifunza kila siku huongeza maarifa. Hatakuwa vilevile! Huo ndiyo ukweli. Hapa kwenye Love & Life ndiyo sehemu sahihi zaidi ya kujifunza kuhusu maisha ya ndoa, uhusiano kwa jumla na mengine yanayofanana na hayo. Ndoa ni fumbo. Kabla ya kuingia, lazima upate muda wa kujifunza mambo kadhaa ili yakusaidie. Ukiingia ukiwa mgeni wa kila kitu,...

 

11 years ago

GPL

UPWEKE, TATIZO LA KIHISIA LINALOWATESA WENGI! - 2

KUJUA unayopaswa kufanya ni vizuri maana kutakuweka mbali na makosa. Ndiyo ukweli wenyewe rafiki zangu wapendwa. Ni mada iliyoanza wiki iliyopita ikizungumzia upweke. Wiki iliyopita nilieleza kuwa, ili kujiweka mbali na upweke ni pamoja na kujijali kwa maana ya usafi na mambo mengine. Siyo lazima wakati wote uwe safi kwa kuwa inawezekana wengine wanafanya kazi ngumu ambazo mazingira yake lazima anakuwa mchafu, lakini baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UMUHIMU WA KUTOKA ‘OUT’ NA UMPENDAYE

NI Jumatatu nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi. Mada yetu ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu.

Je, mara ya mwisho kwa wewe na mpenzi wako kutoka ‘out’ ilikuwa ni lini? Una desturi ya kutoka na umpendaye, mkaenda mahali tulivu ambapo mtapata muda wa kujadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu maisha na mapenzi? Kama jibu lako ni hapana, unaishi kwenye mapenzi yaliyokosa uhai. Maisha yanaenda kasi sana,...

 

10 years ago

GPL

UMUHIMU WA KUTOKA OUT NA UMPENDAYE-2

Nianze kwa kumshukuru Maulana kwa kutuwezesha kuiona salama siku ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo.
Wiki iliyopita tulianza kujadili mada juu ya umuhimu wa kutoka ‘out’ na umpendaye. Tuliona jinsi kutoana out kunavyoweza kufufua mapenzi kati ya wawili wapendao bila kujali wameishi kwa muda gani katika uhusiano wa kimapenzi. Tuendelee na...

 

10 years ago

GPL

UMUHIMU WA KUTOKA ‘OUT’ NA UMPENDAYE

NI Jumatatu nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi. Mada yetu ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Je, mara ya mwisho kwa wewe na mpenzi wako kutoka ‘out’ ilikuwa ni lini? Una desturi ya kutoka na umpendaye, mkaenda mahali tulivu ambapo mtapata muda wa kujadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu maisha na mapenzi? Kama jibu lako ni...

 

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI ZA KUFIKISHA HISIA KWA UMPENDAYE!

NINA furaha sana kukutana nanyi tena katika ukurasa huu ambao kila siku hutufunza mambo mapya kuhusu mapenzi. Kama kawaida, leo nina mada nzuri ambayo itakufungua.Marafiki zangu, hisia za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo.
Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu katika uhalisia wake. Hii humaanisha kuwa kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati...

 

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI ZA KUFIKISHA HISIA KWA UMPENDAYE!-2

NI wakati mwingine mzuri kwa ajili yako msomaji mpendwa kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini unapata unachotarajia. Leo tunaendelea na somo letu lililoanza wiki iliyopita. Ukweli uko wazi kuwa inapotokea mwanamke akampenda mwanaume huwa kuna ugumu wa kufikisha hisia zake. Ni suala la mfumo na tamaduni zetu. Haikubaliki. Lakini katika nyakati hizi za digitali, mambo yamebadilika. Mwanamke anapohisi kumpenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani