Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO yaendelea kuzijengea uwezo redio za jamii nchini

1

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akizungumza katika kongamano lililowakutanisha watendaji kutoka Redio za jamii nchini katika mji wa Terat, wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.

2

Mwenyekiti wa Muungano wa Redio za Kijamii nchini (COMNETA), Sekiku Joseph akizungumza katika Kongamano hilo ambalo amesisitiza umuhimu wa viongozi wa Radio za kijamii kuthamini michango inayotolewa na wafadhili...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yafurahia mabadiliko redio jamii

DSC_0107

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo  ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO).

Na Mwandishi Wetu, Sengerema

AWAMU ya pili ya mradi wa kuwezesha...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yawafua watendaji wa redio jamii

DSC_0014

Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika masuala ya masoko na Tehama kwa mameneja na waandishi wa habari takribani 60 kutoka Redio jamii mbalimbali nchini, yanayoendelea kwenye kituo cha habari na mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza.

Na Mwandishi wetu, Sengerema

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO kuendeleza utamaduni wa kuzisaidia redio jamii

IMG_4940

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Utawala na Fedha), Bw. Liberat Mfumukeko alipowasili katika chumba maalum cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ufunguzi wa kongamano la siku tatu la Mtandao wa Redio za Jamii katika nchi za Afrika Mashariki (EACOMNET) linalolenga kujadili namna ya kuziwezesha redio hizo...

 

10 years ago

GPL

UNESCO YAWAFUA WATENDAJI WA REDIO JAMII‏

Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika masuala ya masoko na Tehama kwa mameneja na waandishi wa habari takribani 60 kutoka Redio jamii mbalimbali nchini, yanayoendelea kwenye kituo cha habari na mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fanyeni redio zenu zitamanike, wamiliki redio jamii waambiwa

DSC_0088

Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya masoko na mpango biashara kwa viongozi wa redio jamii nchini wakati kuhitimisho la warsha ya awamu ya kwanza ya mradi wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) wa kuzipa uwezo Redio hizo katika matumizi ya Tehama na Mawasiliano iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII

DSC_0046 Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama, akitoa mafunzo ya maadili na jinsia kwa waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii nchini yanayolenga kuwajengea uwezo katika utendaji wa kazi zao kwenye vituo vyao. Mafunzo hayo ya siku tano yamefadhiliwa na Shirika la UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015. DSC_0012 Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa somo kwa washiriki wa Semina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani