Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unyanyasaji huu wa watoto ni aibu kwa taifa

Watafiti wa masuala ya haki za binadamu wamefanya utafiti na kutoa taarifa kwamba wapo watoto magerezani wanaochanganywa na watu wazima, hivyo kuainisha kuwa hayo ni mateso makubwa kwa watoto kisaikolojia na kimakuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ENDELEENI KUFICHUA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE, WATOTO – TAMWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Dk. Valery Msoka. Na Walusanga Ndaki
VYOMBO vya habari vimetakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo. Msisitizo huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la aibu kupita kiasi kwa watoto

Mtoto wako ana aibu kupita kiasi? Unafahamu kuwa kitendo cha mtoto wako kuwa katika hali hiyo kinaweza kuathiri hata maisha yake ya baadaye?

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini tuone aibu kuzaa watoto wenye ulemavu?

Makala yangu ya mwisho nilieleza kuhusu hali ya watoto wenye ulemavu na majukumu wanayokabiliana nayo wazazi na walezi wa watoto hao.

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Unyanyasaji wa watoto magerezani

Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini. Ripoti hiyo yenye kurasa 94 iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza hali za watoto magerezani na kwenye vituo vya polisi kwa mwaka 2012 na 2013, imebainisha kuwa walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwamo wizi wa kutumia silaha, dawa za kulevya, mauaji, ubakaji na uzururaji. Timu ya wachunguzi ya tume hiyo ilitembelea magereza na vituo vya...

 

10 years ago

Habarileo

Matukio 24,000 ya unyanyasaji watoto yaripotiwa

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaWIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imesema kuna kesi zaidi ya 24,000 zinahusu matukio ya unyanyasaji na ukatili wa haki za watoto katika kipindi cha mwaka 2013 na Februari, mwaka jana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kesi 5,000 za unyanyasaji watoto zaripotiwa

ZAIDI ya kesi 5,000 za unyanyasaji wa watoto zimeripotiwa katika Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) ambapo kati ya hizo, kesi 1,400 zimeshughulikiwa huku kesi 800 zikisuluhishwa na watoto hao...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA WATOTO

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya siku tano yanayotolewa kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Dar es salaam, ambapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Riadha taifa ni aibu

Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Ndivyo ilivyokuwa kwenye mashindano ya taifa ya riadha yaliyoanza jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani