UPDATES UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0n90HYHEBigSXi8oyz9Ljmxt63sVV7AsJupL4vbM7z9TXQkNNpGjOv0lUNClzKoMUKjb8F1PifhDsFiCxICh7eO/kura.jpg)
Shariff Shamba, Ilala: Eneo la Shariff Shamba, Ilala jijini Dar uchaguzi umeahirishwa mpaka Jumapili ijayo baada ya vifaa kutopatikana ndani ya muda muafaka. Vyama vyote vinavyoshiriki vimeafikiana. Kagunga, Kigoma Kaskazini:Â Uchaguzi katika Vijiji vya Zashe na Kagunga, Kata ya Kagunga, Jimbo la Kigoma Kaskazini umefutwa hadi itakapotajwa tena baada ya Mtendaji wa Kata kuwaengua ACT katika uchaguzi huo baada ya kudaiwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s72-c/HAWA%2BGHASIA.jpg)
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s1600/HAWA%2BGHASIA.jpg)
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Maajabu uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Waandishi Wetu, Dar na Mwanza
HAYA ni maajabu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wapiga katika kituo cha Shule ya Msingi Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam kufika kituoni na kukuta majina yao yakionyesha tayari wamepiga kura.
Hali hiyo, ilisababisha kuibuka vurugu kubwa ambazo zilisababisha upigaji kura katika uchaguzi huo wa marudio, kusitishwa kwa muda.
Msimamizi wa uchaguzi katika kituo hicho, Nasoro Kichuma alisema uchaguzi huo ulianza vizuri, lakini kadrii muda ulivyozidi kwenda...
10 years ago
Mwananchi10 Jan
‘Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa’
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Uchaguzi Serikali za Mitaa Desemba
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Serikali za mitaa kugomea uchaguzi
MUUNGANO wa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (Talgwu), wametishia kuigomea Serikali katika uchaguzi mkuu ujao endapo hawatolipwa sh bilioni 17 za malimbikizo ya mishahara yao. Akizungumza na Waandishi wa Habari...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
‘Uchaguzi serikali za mitaa usiahirishwe’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema hakuna haja ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kisingizio cha mchakato wa katiba kwani masuala hayo hayahusiani. Hayo...